Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu hafanyi commercial hunting, huwa anakuja Mfalme wa Dubai kupumzika tu. Katika lile pori kengele za ngombe zinafukuza wanyama pori kuliko Milio wa risasi. Lakini as the saying if u want to kill a dog give it a bad name!Yan katika wizara nilikuwa naomba kila siku muujiza wa namna hii utokee basi ni wizara hii ya maliasili na Utalii maana nafikiri hata wanyama wa maeneo ya loliondo watakuwa wamefanya sherehe baada ya kusikia hilo Bango la mmh.waziri kwa sababu ilikuwa imefikia hatua wanyama wanaopakana na hili Pori la Loliondo wamekuwa waoga sana waonapo magari ya Utalii na watalii wakiiinua camera kupiga picha wanyama walikuwa wakitimua Mbio kwa kudhani wanataka kupigwa risasi: kwa ufupi huu uwindaji umefanya wanyama kuishi kwa wasiwasi sana kutokana na kuuwawa hovyo na hawa waarabu. Hongera waziri ila ni matumaini yangu kuwa utafuta biashara ya uwindaji wanyama Pori kabisa ili tubaki na Utalii wa kutembelea na kuona wanyama na sio kuwauwa: we better shoot animals by camera not by gun..
Heshima ya kuibiwa inakusaidia nn?? Bora udhalauliwe kwa msimamo wako, kuliko unakaa na jamaa ndani mwako anakugongea mkewo, anakula kila kitu chako na ww unaogopa kumfukuza kisa udumishe heshima na undugu.Tatizo letu watanzania huwa tukishakuwa excited hata kufikiri hatutaki. Nnavyoelewa hii issue siyo rahisi hivyo. Kwasababu hiyo kampuni haifanyi biashara. Ipo hapo kwa ajili ya kurahisisha safari za mapumziko ya ukoo wa kifalme wa Emirates. Na kama ni kweli muda wa kuwaondoa umefika approach ya waziri ni mbaya mno kwa mahusiano ya kidiplomasia. Kumbukeni Tanzania sio kisiwa. Kama tunategemea kuheshimiwa kwa viongozi wetu wa kitaifa basi tunapaswa na sisi tuwaheshimu viongozi wa mataifa mengine.
Hivi yuko wapi yule jamaa, alijitia jeuri naona kapotea mazima daaah haya maisha kweli noma, jamaa alikuwa anapiga hela chafu hadi basi!Alimshughulikia tapeli Mwaka mpaka kahama nchi !
Nasikia yuko South Africa, kule nako wajinga wajinga wengi tu....!Hivi yuko wapi yule jamaa, alijitia jeuri naona kapotea mazima daaah haya maisha kweli noma, jamaa alikuwa anapiga hela chafu hadi basi!
Hujaelewa kidogo kwa sababu OBC unaisoma kwenye magazeti tu. Ni kwamba wanawinda mkuu......Tatizo letu watanzania huwa tukishakuwa excited hata kufikiri hatutaki. Nnavyoelewa hii issue siyo rahisi hivyo. Kwasababu hiyo kampuni haifanyi biashara. Ipo hapo kwa ajili ya kurahisisha safari za mapumziko ya ukoo wa kifalme wa Emirates. Na kama ni kweli muda wa kuwaondoa umefika approach ya waziri ni mbaya mno kwa mahusiano ya kidiplomasia. Kumbukeni Tanzania sio kisiwa. Kama tunategemea kuheshimiwa kwa viongozi wetu wa kitaifa basi tunapaswa na sisi tuwaheshimu viongozi wa mataifa mengine.
Huyu hafanyi commercial hunting, huwa anakuja Mfalme wa Dubai kupumzika tu. Katika lile pori kengele za ngombe zinafukuza wanyama pori kuliko Milio wa risasi. Lakini as the saying if u want to kill a dog give it a bad name!
Serekali za ccm zina ujasiri wa kukosea katikati ya kelele, huo huo ujasiri utumike kufanya sup. zao.Ivi watz wote tukiziunga mkono jitihada za serkal, tutafanikiwa fasta, bt serkal inatupigania while kunawatu wengine kazi yao ni kupinga na kuupotosha ukweli.
Hujanielewa. Anaewinda kwa biashara atahakikisha kuwa anafanya kila njia ili asipate hasara kwasababu ndo njia yake yakujipatia kipato. Huyo anaeitwa mwarabu ni mfalme wa Dubai. Kuja kwake huku kwetu sio kutafuta pesa bali anakuja kupumzika. Jaribu kufanya research juu yake. Huwa anaenda kufanya ziaraza utalii katika nchi nyingi sio Tanzania tu.duh!
mkuu so zile video za wafalme wakiwwinda wanyama tena watoto na wenye mimba ni za kuedit au sio tz ?
Mimi pia mkuu!! Akifanikiwa kumwondoa huyu na wengine kadhaa wa aina hii basi kweli nitaamini kuwa sasa nchi inarudi kwa wenye nchi!Kama kweli akitekeleza itakuwa ni faraja kwa wanaharakati wa mazingira, na wananchi wa maeneo hayo. Kimekuwa ni kilio cha miaka mingi.
Binafsi JPM akifanikiwa hili nitaamini kuwa hata kwenye makinikia alikuwa na nia njema, iwe amefanikiwa au hakufanikiwa.
Kama wao hawatuheshimu hakuna haja ya kuwaheshimu!! Niambie mtanzania anayemiliki rasilimali huko arabuni kwa mkataba wa 99years! Siipendi ccm ila kwa hili nipo na yeyote mwenye kuonyesha nia ya kuwaondoa hawa ngedure nchini mwetu!Tatizo letu watanzania huwa tukishakuwa excited hata kufikiri hatutaki. Nnavyoelewa hii issue siyo rahisi hivyo. Kwasababu hiyo kampuni haifanyi biashara. Ipo hapo kwa ajili ya kurahisisha safari za mapumziko ya ukoo wa kifalme wa Emirates. Na kama ni kweli muda wa kuwaondoa umefika approach ya waziri ni mbaya mno kwa mahusiano ya kidiplomasia. Kumbukeni Tanzania sio kisiwa. Kama tunategemea kuheshimiwa kwa viongozi wetu wa kitaifa basi tunapaswa na sisi tuwaheshimu viongozi wa mataifa mengine.
Akifanikisha kumfungia Dr MwakaHivi Kigwangala ashafanikisha nini katika matamko yake yote akiwa Naibu Waziri?
That’s so trivial!Akifanikisha kumfungia Dr Mwaka