MLA PANYA SWANGA
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 5,184
- 5,435
Kama ni kweli naunga mkonyo hoja.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani kila mke wa Rais akaja na mambo yake...wengine vimemo vya ajira TRA...wengine sijui biashara gani pembeni ya white house.Ndo hii enzi za Siti Mwinyi?
Nchi huru, wanyama wanatoroshwa mchana kweupe, basi huo uhuru wanafaidi viongozi tu. Namshukuru kigwa kuigusa orteloMkuu hii ni nchi huru na mamlaka kamili. Hicho unachosema sio sahihi. Huwezi ukaruka na ndege bila ukaguzi kwenda nje ya nchi. Lazima upitie katika viwanja vya kimataifa km kia. Kwasababu ndege huwa lazima zipate clearance hata ya kupita tu katika anga ya nchi husika sembuse kutua na kuruka.
Hata makinikia mlisema hivyo mwisho wameanza kulipa baada ya kubanwahaya mambo yashatokea zaamani miaka ya 70 azimio la Arusha , tukapigwa vita tukawa hatuna hata sabuni , tunarudi tena kwenye mambo hayo uwezi kuyanganya vitu vya watu wakati walipewa na serikali ya ccm ?. mwishowe tutakwenda mahakamani kulipa fidia kesho wanaweza kuchukua mali za wafanya biashara za wazalendo
Orodha ya mashoga bado anayoHivi Kigwangala ashafanikisha nini katika matamko yake yote akiwa Naibu Waziri?
Hapo sasa ndo tulipoona udhaifu wa Mwinyi. Ni kama waarabu walirudi kuja kumega nchi wanavyotaka. Ungeweza kuona udhaifu wa akili ya mwafrika kuamini kwamba mwaarabu au mzungu akiwa hapa ni sifa fulani, vile!Waziri wa Maliasili asili na utalii Mh. Kigwangala akiwa katika ziara yake wilayani Ngorongoro pamoja na kuagiza kuvifuta vibali vyote vya uwindaji nchi nzima ikiwamo vya kampuni ya ORTELLO BUSINESS CORPORATION (OBC) ya Loliondo, ameagiza kampuni hiyo ya MWARABU kujiandaa kurudi walikotokea, kwasababu hata kama wakibaki mchakato mpya wa ugawaji vitalu vya uwindaji utakapoanza hautawahusu.
Ikumbukwe kampuni ilipewa eneo hilo miaka ya 1990 kwa mkataba wa miaka 99.
ukifika pale paka simu inabadilika kama siyo tanzaniaHuyo mwarabu ndo tunaambiwa huku JF kuwa hilo eneo lake ana mtandao binafsi wa simu?
Na hii ishu ndo iliondoa uhai wa Stan Katabaro?
pasco
We are going to pay the price!Let us wait and see.
Ni kwa sababu unatofautiana nao katika uelewa na upataji taarifa!Ivi watz wote tukiziunga mkono jitihada za serkal, tutafanikiwa fasta, bt serkal inatupigania while kunawatu wengine kazi yao ni kupinga na kuupotosha ukweli.