Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Safi waziri kigwangalah kwa uthubutu huu, hakika tukiwa na mawaziri wa aina hii 10 basi nchi itafika mbali.Waziri wa Maliasili asili na utalii Mh. Kigwangala akiwa katika ziara yake wilayani Ngorongoro pamoja na kuagiza kuvifuta vibali vyote vya uwindaji nchi nzima ikiwamo vya kampuni ya ORTELLO BUSINESS CORPORATION (OBC) ya Loliondo, ameagiza kampuni hiyo ya MWARABU kujiandaa kurudi walikotokea, kwasababu hata kama wakibaki mchakato mpya wa ugawaji vitalu vya uwindaji utakapoanza hautawahusu.
Ikumbukwe kampuni ilipewa eneo hilo miaka ya 1990 kwa mkataba wa miaka 99.
Ni kweli kabisa tunahitaji mali zote za wananchi ziwe mikononi mwa wanaznchi wenyewe, na kama wapo waliokodishiwa kihalali kabisa wamefuata taratibu zote, ni vema sana tena itakuwa ni busara tukae nao tuongee nao pia tupate ushauri kwa wataalamu wa sheria akiwemo Jaji mkuu, waziri sheria na katiba na wangineo ili kuepuka kuja kulipa faini kubwa.Waziri wa Maliasili asili na utalii Mh. Kigwangala akiwa katika ziara yake wilayani Ngorongoro pamoja na kuagiza kuvifuta vibali vyote vya uwindaji nchi nzima ikiwamo vya kampuni ya ORTELLO BUSINESS CORPORATION (OBC) ya Loliondo, ameagiza kampuni hiyo ya MWARABU kujiandaa kurudi walikotokea, kwasababu hata kama wakibaki mchakato mpya wa ugawaji vitalu vya uwindaji utakapoanza hautawahusu.
Ikumbukwe kampuni ilipewa eneo hilo miaka ya 1990 kwa mkataba wa miaka 99.
Unauliza barabara ya kwenda mjiniSijaelewa kuhus ugawaji wa vitalu, wanataka vigawiwe kwa wazawa tu au ?
au ndio anawabeep ili wamletee bahasha yake ?
Tatizo tunakurupuka ukiwwka issue mezani na fact lazima kielewekeWe are going to pay the price!
Ivi watz wote tukiziunga mkono jitihada za serkal, tutafanikiwa fasta, bt serkal inatupigania while kunawatu wengine kazi yao ni kupinga na kuupotosha ukweli.
Je tumewapa masharti yetu wameshindwa kutimiza ?? Tukisha nyanganya !! What next ?? Je nini dhumuni la kunyanganya ?? Isijekuwa tunacheza mchezo wa Acacia na Barrick ili kutengeneza jina kisiasa kwa matamko ya kinafki. Time will tell.Hapa tuwe wazalendo, tu fight for our natural wealth, sio kusema tuone kama wazir ataweza kuwafukuza, tumuunge mkono ndio tutapata mafanikio,
Tatizo kubwa kwa sisi waTz tulio wengi tunajua zaidi kukosoa ili mtu fulani aonekane kakosea, hajui, au ni mjinga. Ni watanzania wachache sana huenda kwenye media ili kutoa ushauri tena katika lugha nzuri na ya kizalendo ya kuonyesha kweli mtu anajali watanzania wengine na maendeleo ya nchi.Ivi watz wote tukiziunga mkono jitihada za serkal, tutafanikiwa fasta, bt serkal inatupigania while kunawatu wengine kazi yao ni kupinga na kuupotosha ukweli.
Watafukuzwa na hawatafanya lolote Unatetea wakoloni?Hao waarabu wa Loliondo walimilikilishwa hilo eneo kisheria na serikali(Hata kama sote tunajua Rushwa ilitembea), tena umiliki wake ni wa miaka 99, Hivyo mkataba wao kisheria utaishia kwenye mwaka 2080 hivi.
Sasa kuwanyang'anya kienyeji enyeji haiwezekani, lazima iwe kisheria.
Kauli ya Kigwangwalla ni kauli ya kupuuzwa tu(japokuwa sote tunajua ni Magufuli mwenyewe huenda labda kamtuma kwenda kusema hayo ili kuleta choko choko).
Ngoja tusubiri, muda utatupa majibu.
Hulehule# uleuleKwa maamuzi hayo hata mimi namuunga mkono ila ifanyike hivyo na isiwe maneno tu halafu baada ya miezi kadhaa tunaambiwa hiyo kampuni ya Mwarabu inaendelea tena kwa mkataba hulehule OBC )
Hakuna fidia kwa mikataba ya kinyonyajiDuuhh!! Hii imekaa viba mkataba wa miaka 99 inamaana hapo mkataba c unavunjwa vipi kuhusu fidia
LupangoIptl bosi wake yuko wapi vile?