Wakimbu ni wenyeji wa Sudan kusini!Hivi kumbe kabila lake ni Mkimbu?
Muhimbili Tena akiwa mwaka wa mwishoChuo gani hicho? Mheshimiwa inaelekea anaabudu msosi 😂
Itakuwa MUHASChuo gani hicho? Mheshimiwa inaelekea anaabudu msosi 😂
Sky Eclat pitia hapaChuo gani hicho? Mheshimiwa inaelekea anaabudu msosi 😂
Wakati wenu mambo yalishaanza kukorogeka mpaka mnajipikia. Au ndiyo mlikuwa mnapenda vinono...😂😂?Sky Eclat pitia hapa
Tulikuwa na tabia ya kupika wali kwenye ‘rice cooker’. Aliyekuwa Mrajis Msaidizi wakati huo alipiga marufuku, kwa sababu za kiusalama. Hatukuacha. Tulijificha zaidi.
Siku moja akafanya ukaguzi wa kushtukiza. Dogo alikuwa anapika. Mimi sipo. Watu wakakimbia wakaambizana. Dogo naye akapata taarifa. Akatorosha vyombo na misosi yote kwa dirishani, baada ya kufunga mlango kwa ndani na yeye akatoroka. Sijui alitorokaje. Ilikuwa floor ya kwanza!
Harufu ya wali iliyojaa chumbani ilisaliti. Profesa alikagua chumba hadi chumba huku akinusa harufu. Akabaini ni chumbani kwangu. Alikijua fika maana kilikuwa cha Rais mstaafu. Akafungua kwa ‘Master Key’ yake. Hakukuta mtu. Akaweka ‘lock’ ili nikirudi nikaripoti ndipo nifunguliwe.
Nikaarifiwa nikawahi maana la sivyo dogo angepata shida pa kulala. Mimi nilikuwa nishaoa na nimepanga Msasani. Kipindi hicho nilikuwa mwaka wa tano. Nililala chumbani pale mara chache tu nilipokuwa najisomea usiku wodini pamoja na wenzangu.
Nilipomfuata Prof., aling’aka kwa hasira, kwa kuwa hakuwa na ushahidi, na kwa kisirani, akanirudishia funguo zangu huku akiapa kunikomesha! Alianza kunitafuta darasani. ‘Akanikamata!’ #NjeYaBox #HK
Asione aibu kwenda kwa Ras SimbaKigwangalla awacharua wanaomsema hajui kingereza asema sio sifa kuijua
Waziri wa Maliasilia na Utalii, Dk. Hamis Kigwangalla amesema kuna watu huwa wanajaribu kumkosoa lugha yake ya kingereza.
“Huwa nina washangaa sana maana kwanza siyo sifa kujua lugha hiyo mimi naitumia kama njia ya kuwasiliana tu,” aliandika Kigwangalla katika ukurasa wake wa Twitter.
Aliongezea kuwa “Ningekuwa sijui kiswahili ana kikimbu na mtu akanicheka angekuwa na mantiki.
View attachment 1471687
Waziri anaihifadhi lugha ya Kiingereza kuwasiliana na watalii na katika massala ya kikazi tu. Hapendi ujinga.
Huyo ni Mhutu,uraia wake Una utata kwa vile tu yuko huko.Hivi kumbe kabila lake ni Mkimbu?
The tallest mountain 😂😂😂😂😂😂Kwa wizara anayoiongoza ni vyema sana akiijua vizuri kwa hiyo ajitahidi tu kukifahamu siyo dhambi ila pia siyo vyema kumkashifu ikitokea makosa madogo hiyo siyo lugha yetu kwa hiyo kukosea hakuepukiki