Waziri Kigwangalla awacharukia wanaomsema hajui Kiingereza

Waziri Kigwangalla awacharukia wanaomsema hajui Kiingereza

Kigwangalla awacharua wanaomsema hajui kingereza asema sio sifa kuijua

Waziri wa Maliasilia na Utalii, Dk. Hamis Kigwangalla amesema kuna watu huwa wanajaribu kumkosoa lugha yake ya kingereza.

“Huwa nina washangaa sana maana kwanza siyo sifa kujua lugha hiyo mimi naitumia kama njia ya kuwasiliana tu,” aliandika Kigwangalla katika ukurasa wake wa Twitter.

Aliongezea kuwa “Ningekuwa sijui kiswahili ama kikimbu na mtu akanicheka angekuwa na mantiki.

View attachment 1471687

Waziri anaihifadhi lugha ya Kiingereza kuwasiliana na watalii na katika masuala ya kikazi tu. Hapendi ujinga.
Anajua anachofanya hii ni wababe wachache tumeelewa
 
Watanzania ni wajinga sana, hivi kujuwa Kiingereza ni sifa au akili? Nawashangaa wasanii wachovu wa Kibongo, mtu kazaliwa hapa Tandale tu na hata shule kamaliza kwa shida, leo hii anajuwa kuomba maji kwa Kiingereza anajifanya hajuwi Kiswahili....huu ni ujinga uliotukuka. Kwa taarifa yenu wabongo wajinga, wazungu wanawadharau watu wanaojidharau kwa kushabikia vitu vya nje. Kudos to Kigwangallah, Kiingereza si lugha ya maana na ya kujivunia.
 
The preposterous pantomime position on my purported pedantic pugilism is purely Philistine pitter-pattering and power politics pouting by pity parties picking pickaninny points.

Google Translate

"nafasi ya mapema juu ya pugilism yangu iliyosafishwa ni wazi tu ya Wafilisiti-ya doria na nguvu ya siasa ikidhoofika na vyama vya huruma kuokota vidokezo vya pickaninny"
 
Umeongea kitu niliwahi kusikia sehemu, éti hawafurahii sana mtu kuongea lugha yao huku akijitahidi kufata accent yao. Wanasema wanafurahi kukusikia ukiongea kwa accent ya kwenu. Kweli kabisa
kwahiyo unasoma ili ufurahishe watu?????....
 
Back
Top Bottom