Hamkubali yaishe shida yenu tuwe tiro tuuu..hamtaki tupige hatua mbele..kwani kipi cha ajabu kama Maalim atapewa Uwaziri Kiongozi...?
Mbona Vladmir Putin...katoka urais kenda kwenye Uwaziri Mkuu...si kawaida tu...kwani Nyerere hakufanya hivyo hivyo...?
Maalim Seif ni kiongozi wa umma wa Wazanzibar wengi, yupo tayari kuwatumikia katika nafasi yoyote ile watakayoona inamfaa,fairly, hata kama angepewa usheha wa shehia, angehakikisha kila mtu stahiki,anapata kitambulisho cha ukaazi bila kujali tofauti za kisiasa.
Maalim ni jina kubwa sana, mtaongea mengi kwa jamaa...he is charismatic leader.