Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe kaahidiwa uwaziri kiongozi, kweli madaraka matamu!
Maalim keshawahi kuwa waziri kiongozi nadhani 1984 to 1988,hamna jipya hapa.Anyway nawatakia wazanzibari kila la heri na mwelekeo huu mpya.
Zimbabwe wamempa Morgan Uwaziri Mkuu; Kenya wamempa Raila Uwaziri Mkuu; Zanzibar nako wampe Maalim Uwaziri Kiongozi! Aina mpya ya DEMOCRASIA barani AFRICA pekee. Unaiba kura au unavuruga uchaguzi, unakuwa RAIS, mpinzani wako unamtuliza kwa cheo kidogo.
Kheeeee heeee heee!....Hiyo siku inakuja!Nilisoma haraka haraka nikajua Kibunango amepata ulaji! Kwi kwi kwi kwi
Hamna kitu huju jamaa kastuka kaona ICC wako mlangoni ameamua kuua soo, tatizo ni hao wanaotaka madaraka kwa haraka. Wangemwacha jamaa ICC imtungue
Hongera ya nini? Usisahau Bwan Seif keshakuwa Waziri Kiongozi -kama anawania kitu hicho tena- sasa miaka yote hiyo amefanya nini? kama si ku- mark time katika bench? Angeupata Urais angestahili kupewa hongera . Lakini hilo la ku mark time -Mpe pole!!!!!Hongera mzee seif.s kwa uamuzi wako wa busara kila la heri na ulaji mtarajiwa