Waziri kiongozi mtarajiwa wa zanzibar

Waziri kiongozi mtarajiwa wa zanzibar

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Hongera mzee seif.s kwa uamuzi wako wa busara kila la heri na ulaji mtarajiwa
 
Wana cuf mpo ???????
 
Kumbe kaahidiwa uwaziri kiongozi, kweli madaraka matamu!
 
Kumbe kaahidiwa uwaziri kiongozi, kweli madaraka matamu!

Maalim keshawahi kuwa waziri kiongozi nadhani 1984 to 1988,hamna jipya hapa.Anyway nawatakia wazanzibari kila la heri na mwelekeo huu mpya.
 
Maalim keshawahi kuwa waziri kiongozi nadhani 1984 to 1988,hamna jipya hapa.Anyway nawatakia wazanzibari kila la heri na mwelekeo huu mpya.

Mimi nimesema kuwa kaahidiwa uwaziri kiongozi sijasema kaahidiwa kitu kipya!
 
Zimbabwe wamempa Morgan Uwaziri Mkuu; Kenya wamempa Raila Uwaziri Mkuu; Zanzibar nako wampe Maalim Uwaziri Kiongozi! Aina mpya ya DEMOCRASIA barani AFRICA pekee. Unaiba kura au unavuruga uchaguzi, unakuwa RAIS, mpinzani wako unamtuliza kwa cheo kidogo.
 
vipihuyu alietoka uraisi akaamua kuwa waziiri mkuu

VLADIN PUTTIN...HUYU HATAKI KABISA KUGAIANA MADARAKA NA WAPINZANI
 
Hamna kitu huju jamaa kastuka kaona ICC wako mlangoni ameamua kuua soo, tatizo ni hao wanaotaka madaraka kwa haraka. Wangemwacha jamaa ICC imtungue
 
Nilisoma haraka haraka nikajua Kibunango amepata ulaji! Kwi kwi kwi kwi
 
Hamna kitu huju jamaa kastuka kaona ICC wako mlangoni ameamua kuua soo, tatizo ni hao wanaotaka madaraka kwa haraka. Wangemwacha jamaa ICC imtungue

Tehee!!! Tehee!! Ze Okampo izi jasti araundi ze kona, fiu kilometaz from Zenji!! Yu no wora Ai miiin! Maalimu yuko fit kwenye alama za nyakati! We acha tu!!!!!!
 
Hongera mzee seif.s kwa uamuzi wako wa busara kila la heri na ulaji mtarajiwa
Hongera ya nini? Usisahau Bwan Seif keshakuwa Waziri Kiongozi -kama anawania kitu hicho tena- sasa miaka yote hiyo amefanya nini? kama si ku- mark time katika bench? Angeupata Urais angestahili kupewa hongera . Lakini hilo la ku mark time -Mpe pole!!!!!
 
Hamkubali yaishe shida yenu tuwe tiro tuuu..hamtaki tupige hatua mbele..kwani kipi cha ajabu kama Maalim atapewa Uwaziri Kiongozi...?
Mbona Vladmir Putin...katoka urais kenda kwenye Uwaziri Mkuu...si kawaida tu...kwani Nyerere hakufanya hivyo hivyo...?
Maalim Seif ni kiongozi wa umma wa Wazanzibar wengi, yupo tayari kuwatumikia katika nafasi yoyote ile watakayoona inamfaa,fairly, hata kama angepewa usheha wa shehia, angehakikisha kila mtu stahiki,anapata kitambulisho cha ukaazi bila kujali tofauti za kisiasa.
Maalim ni jina kubwa sana, mtaongea mengi kwa jamaa...he is charismatic leader.
 
Back
Top Bottom