Habari za Zanzibar
JF-Expert Member
- Dec 18, 2024
- 651
- 433
πͺππππ₯π ππ’π ππ’ ππππ‘π¬π ππππ₯π πππ§πππ π¨ππππ’ππ πͺπ π§ππ‘πππ‘ππ π‘ππππ‘π π ππ¦π₯π
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mheshimiwa Balozi Mahmoud Thabit Kombo akiambatana na Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo Mheshimiwa Prof. Palamagamba Kabudi wamefanya ziara ya kikazi katika Ubalozi wa Tanzania nchini Misri.
Ziara hiyo imefanyika Ubalozini hapo Desemba 18, 2025 ambapo Mawaziri hao wamekutana na kufanya kikao na Maofisa na Wafanyakazi wa ubalozi huo.
Akizungumza katika kikao hicho, Mhe. Balozi Kombo amewahimiza kufanya kazi kwa bidii na maarifa huku wakitanguliza mbele maslahi mapana ya taifa.
Mhe. Balozi Kombo yupo nchini Misri kwa ajili ya kushiriki Mkutano wa Pili wa Mawaziri kuhusu Ushirikiano kati ya Afrika na Urudi unaotarajiwa kufanyika Desemba 19 na 20, 2025.