Waziri Kombo akiwa pamoja na wanaDiaspora waTanzania wanaoishi Luanda, Angola

Ojuolegbha

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2020
Posts
1,773
Reaction score
1,174
Waziri Kombo akiwa pamoja na WanaDiaspora WaTanzania wanaoishi Luanda, Angola leo Jumapili 16 Machi 2025 alipokutana na WanaDiaspora wanaoishi nchini Angola baada ya kumaliza dhamana za kazi mchana wa leo Jumapili.

Kwenye picha anaonekana Ndg. Alamin na Mkewe Ramla na Mtoto wao Mdogo Abdulrahim.

Kulia Mhe. Balozi Luteni Jenerali Mkingule, Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Angola akiwakilisha kutokea Lusaka, Zambia na Kushoto Mhe. Andrew Mbwana Mziray, Balozi wa Heshima wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Angola Mjini Luanda.

IMG-20250316-WA0083.jpg
 
View attachment 3273210
Mwenyezi Mungu atuhifadhie "Edeni* yetu Tanzania na kuwahifadhi viongozi na wawakilishi wetu ndani na nje ya nchi aaamin aaamin !

#Serikali mbili za JMT milele dumu aamin!
 
Ujinga Tu na upumbavi mbona Lisu hakukaribishwa na humkusema kitu? Nchi ya ubaguzi hii hatuwahotaji Wazanzibari
Umetumwa na umoja gani wa watanzania kuwabagua na kuwatenga watanzania wenzao wenye asili ya Zanzibar?!!
Unajiona una haki ya uraia zaidi ya wengine ,si ndio ee?!!

Wewe karibu utaokota makopo ya kuzunguka nayo tu na wala si ya kuuza na halafu ule majaani !!
 
Back
Top Bottom