Waziri Kombo apokea mwaliko wa Rais Samia kushiriki Jukwaa la FOCAC

Ojuolegbha

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2020
Posts
1,278
Reaction score
797
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo amepokea mwaliko rasmi wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, kushiriki Mkutano wa Kilele wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jukwaa la Ushirikiano kati ya China na Afrika (FOCAC) kutoka kwa Rais wa Jamhuri ya Watu wa China Mhe. Xi Jinping utakaofanyika mwezi Septemba 2024 jijini Beijing nchini China.

Mwaliko huo umewasilishwa na Balozi wa Jamhuri ya Watu China nchini Tanzania Mhe. Chen Mingjian katika Ofisi ndogo za Wizara jijini Dar es Salaam, pia umeainisha nafasi ya kipekee kwa Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kuzungumza katika kikao cha ufunguzi kwa niaba ya nchi za Ukanda wa Afrika Mashariki pamoja na kuzungumza Katika Mkutano wa Ngazi ya Juu utakaojadili mada ya Maendeleo ya Viwanda na Kilimo cha Kisasa.

Akipokea mwaliko huo kwa niaba ya Mhe. Rais, Mhe. Balozi Kombo ameelezea kuwa nafasi ya Mhe. Rais kushiriki na kuzungumza katika Jukwaa hilo itaipa nchi fursa ya kuangazia uhusiano na ushirikiano uliopo kati ya Tanzania na China na Jumuiya ya Afrika Mashariki kwa ujumla, hali ambayo itasaidia vipaumbele vya maendeleo vya Tanzania na Jumuiya ya Afrika Mashariki ambapo Tanzania ni kinara na kiongozi wa kupigiwa mfano kwenye Jumuiya hiyo kongwe Afrika.

mini_magick20240821-37297-31bn74.jpg
mini_magick20240821-37297-wx5g3g.jpg
mini_magick20240821-37297-1cf7m2.jpg
mini_magick20240821-37297-sgy7m7.jpg
mini_magick20240821-37297-e1256c.jpg
mini_magick20240821-37297-4277w2.jpg
mini_magick20240821-37297-g6xvzh.jpg
mini_magick20240821-37297-q5m87a.jpg
 
Nani kasema Kombo ni MKAAZI? Makao makuu kuna akina Mwanakombo kibao.

Mambo ya tamasha yamenichanganya...hii habari inahusu nini?

Kumbe kupata mialiko na kupakwa mafuta kwa mgongo wa chupa ni matokeo ya kuwa KILAZA....inaelezea kwa kina sana awamu ya nne; ilikuwa kama hivi.
 
Thabit Kombo vs Hussein Mwinyi vs Aman Karume... etc
.. Watoto wa Abdul Jumbe mbona hawamo kwenye utawala wa Zenji?
 
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo amepokea mwaliko rasmi wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, kushiriki Mkutano wa Kilele wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jukwaa la Ushirikiano kati ya China na Afrika (FOCAC) kutoka kwa Rais wa Jamhuri ya Watu wa China Mhe. Xi Jinping utakaofanyika mwezi Septemba 2024 jijini Beijing nchini China.

Mwaliko huo umewasilishwa na Balozi wa Jamhuri ya Watu China nchini Tanzania Mhe. Chen Mingjian katika Ofisi ndogo za Wizara jijini Dar es Salaam, pia umeainisha nafasi ya kipekee kwa Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kuzungumza katika kikao cha ufunguzi kwa niaba ya nchi za Ukanda wa Afrika Mashariki pamoja na kuzungumza Katika Mkutano wa Ngazi ya Juu utakaojadili mada ya Maendeleo ya Viwanda na Kilimo cha Kisasa.

Akipokea mwaliko huo kwa niaba ya Mhe. Rais, Mhe. Balozi Kombo ameelezea kuwa nafasi ya Mhe. Rais kushiriki na kuzungumza katika Jukwaa hilo itaipa nchi fursa ya kuangazia uhusiano na ushirikiano uliopo kati ya Tanzania na China na Jumuiya ya Afrika Mashariki kwa ujumla, hali ambayo itasaidia vipaumbele vya maendeleo vya Tanzania na Jumuiya ya Afrika Mashariki ambapo Tanzania ni kinara na kiongozi wa kupigiwa mfano kwenye Jumuiya hiyo kongwe Afrika.

View attachment 3075663View attachment 3075664View attachment 3075665View attachment 3075666View attachment 3075667View attachment 3075668View attachment 3075669View attachment 3075670
Hapo Mama lazima suti zimeshanyooshwa tayari,hawezi kukosa safari nono kama hiyo!!
 
Mtoto wa Thabit Kombo kama walivyo akina Nape mtoto wa Nnauye, Januari mtoto wa Makamba, Hussein mtoto wa Mwinyi na wengine wengi wengi sana ila Mbowe amewazidi idadi hawa, elimu ya shule zetu mwalimu mzuri ni yule aliyefeli darasa la saba.
 
Back
Top Bottom