Habari za Zanzibar
JF-Expert Member
- Dec 18, 2024
- 651
- 433
๐ช๐๐ญ๐๐ฅ๐ ๐๐ข๐ ๐๐ข ๐๐ฃ๐ข๐๐๐ ๐ก๐๐๐๐๐ ๐ญ๐ ๐๐๐ง๐ ๐ญ๐ ๐จ๐ง๐๐ ๐๐จ๐๐๐ฆ๐๐ข ๐ญ๐ ๐ ๐๐๐๐๐ข๐ญ๐ ๐ช๐๐ง๐๐จ๐๐ ๐ช๐๐ก๐ก๐
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Dkt. Mahmoud Thabit Kombo (Mb) amepokea Nakala za Hati za Utambulisho kutoka kwa Waheshimiwa Mabalozi Wateule wanne, wanaowakilisha nchi zao hapa Tanzania wenye makazi yao nchini Kenya.
Mabalozi hao ni Mhe. Moravia Hernandez kutoka Jamhuri ya Venezuela, Mhe. George Psiachas wa Jamhuri ya Ugiriki, Mhe. Leon Yandouma wa Jamhuri ya Congo Brazzaville na Mhe. Dkt. Simone Knapp kutoka Jamhuri ya Shirikisho la Austria.
Mheshimiwa Kombo amepokea Nakala za Hati za Mabalozi hao Wateule kwenye Ofisi Ndogo za Wizara jijini Dar es Salaam 15 Oktoba, 2026.