Habari za Zanzibar

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2024
Posts
651
Reaction score
433
๐—ช๐—”๐—ญ๐—œ๐—ฅ๐—œ ๐—ž๐—ข๐— ๐—•๐—ข ๐—”๐—ฃ๐—ข๐—ž๐—˜๐—” ๐—ก๐—”๐—ž๐—”๐—Ÿ๐—” ๐—ญ๐—” ๐—›๐—”๐—ง๐—œ ๐—ญ๐—” ๐—จ๐—ง๐—”๐— ๐—•๐—จ๐—Ÿ๐—œ๐—ฆ๐—›๐—ข ๐—ญ๐—” ๐— ๐—”๐—•๐—”๐—Ÿ๐—ข๐—ญ๐—œ ๐—ช๐—”๐—ง๐—˜๐—จ๐—Ÿ๐—˜ ๐—ช๐—”๐—ก๐—ก๐—˜

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Dkt. Mahmoud Thabit Kombo (Mb) amepokea Nakala za Hati za Utambulisho kutoka kwa Waheshimiwa Mabalozi Wateule wanne, wanaowakilisha nchi zao hapa Tanzania wenye makazi yao nchini Kenya.

Mabalozi hao ni Mhe. Moravia Hernandez kutoka Jamhuri ya Venezuela, Mhe. George Psiachas wa Jamhuri ya Ugiriki, Mhe. Leon Yandouma wa Jamhuri ya Congo Brazzaville na Mhe. Dkt. Simone Knapp kutoka Jamhuri ya Shirikisho la Austria.

Mheshimiwa Kombo amepokea Nakala za Hati za Mabalozi hao Wateule kwenye Ofisi Ndogo za Wizara jijini Dar es Salaam 15 Oktoba, 2026.
 
Leo tarehe 19
 
Mashallah,inshaallah....(Vidomo domo tiririkeni umbea)
Unajistukia, shetani wa kizimkazi afya yake ikoje? Maana juzi baada ya watu kusema anaumwa akajitutumua sijui ni AI ili ionekane ni mzima. Mbona haendelei kupokea mabalozi tena? Chezea kuua watu kwa kuiba uchaguzi ili ukae madarakani kwa shuruti.
 
Jana amefanikiwa kupiga chafya, bado anapumua. Tatizo Israili amekuwa kama Doumbia, angecheza kama Mpanzu mbona nchi nzima sasa hivi ingekuwa nderemo na vifijo tu.
Tuzidishe maombi huenda safari huu magori yakapanuliwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ