Habari za Zanzibar
JF-Expert Member
- Dec 18, 2024
- 651
- 433
Duh akili yako imeharibiwa na ulokole ulio nao🚮Hii benki ishakuwa ya kiislam, ina mambo mengi ya kiislam ndio maana imekubaliwa kukita kambi huko kwenye shina la uislam duniani. Ndani ya hiyo benki kuna islamic banking, huu ni udini ulioanza kuingia kwenye taasisi nyeti. Zipo benki za taasisi za dini zingine ila hazina udini, hakuna ukatoliki wala ulutheri kwenye benki zao. CRDB ingejulikana tu ni benki ya kiislam ieleweke hivyo
Wewe jamaa una mawazo ya karne ya 18 huko..Hii benki ishakuwa ya kiislam, ina mambo mengi ya kiislam ndio maana imekubaliwa kukita kambi huko kwenye shina la uislam duniani. Ndani ya hiyo benki kuna islamic banking, huu ni udini ulioanza kuingia kwenye taasisi nyeti. Zipo benki za taasisi za dini zingine ila hazina udini, hakuna ukatoliki wala ulutheri kwenye benki zao. CRDB ingejulikana tu ni benki ya kiislam ieleweke hivyo
Kwani huwa wanalazimisha kutumia hiyo islamic banking!?Hii benki ishakuwa ya kiislam, ina mambo mengi ya kiislam ndio maana imekubaliwa kukita kambi huko kwenye shina la uislam duniani. Ndani ya hiyo benki kuna islamic banking, huu ni udini ulioanza kuingia kwenye taasisi nyeti. Zipo benki za taasisi za dini zingine ila hazina udini, hakuna ukatoliki wala ulutheri kwenye benki zao. CRDB ingejulikana tu ni benki ya kiislam ieleweke hivyo
Una ushamba mwingi sana, jitahidi kutembeaHii benki ishakuwa ya kiislam, ina mambo mengi ya kiislam ndio maana imekubaliwa kukita kambi huko kwenye shina la uislam duniani. Ndani ya hiyo benki kuna islamic banking, huu ni udini ulioanza kuingia kwenye taasisi nyeti. Zipo benki za taasisi za dini zingine ila hazina udini, hakuna ukatoliki wala ulutheri kwenye benki zao. CRDB ingejulikana tu ni benki ya kiislam ieleweke
Watanzania tuwe makini sana ,na Warabu , hawa wameshiriki pakubwa sana kwenye biashara ya Utumwa ya wazee wetu , nilitegemea sana fanya kitu ichi nchi zingine mfano china ambapo watz wengi , wapo na fulsa mbalimbali za kibiashara , sio huko kwenye takatakaKatika Africa ni benki.moja tu.ikukuambia imevuka boda huduma.zao.unazipata kama uko Tanzania nayo ni Equity wame harmonise operations zao huwezi kuona utofauti.
Crdb hapa ulienda DRC ni ukifanya transactions kodi na makato ni sawa na unafanya.benki tofauti na.mpya kabisa huwa mnafeli wapi
Sio sahihi. Islamic banking ni sehemu tu ya kujibu masuluhisho yanaolenga kundi fulani.Hii benki ishakuwa ya kiislam, ina mambo mengi ya kiislam ndio maana imekubaliwa kukita kambi huko kwenye shina la uislam duniani. Ndani ya hiyo benki kuna islamic banking, huu ni udini ulioanza kuingia kwenye taasisi nyeti. Zipo benki za taasisi za dini zingine ila hazina udini, hakuna ukatoliki wala ulutheri kwenye benki zao. CRDB ingejulikana tu ni benki ya kiislam ieleweke hivyo
Hii benki ishakuwa ya kiislam, ina mambo mengi ya kiislam ndio maana imekubaliwa kukita kambi huko kwenye shina la uislam duniani. Ndani ya hiyo benki kuna islamic banking, huu ni udini ulioanza kuingia kwenye taasisi nyeti. Zipo benki za taasisi za dini zingine ila hazina udini, hakuna ukatoliki wala ulutheri kwenye benki zao. CRDB ingejulikana tu ni benki ya kiislam ieleweke hivyo
Exactly. Na hulazimishwi. Sioni tatizo.Sio sahihi. Islamic banking ni sehemu tu ya kujibu masuluhisho yanaolenga kundi fulani.
Kama ambavyo yaweza kuwa wanawake, machinga, contractors, institutions.
Recently, BOT imetoa pia muongozo na kanuni za islamic banking.
Hii inaweza kuwa ndani ya bank yeyote ile iwe NMB, Azania, TCB, NBC n.k
Hii benki ishakuwa ya kiislam, ina mambo mengi ya kiislam ndio maana imekubaliwa kukita kambi huko kwenye shina la uislam duniani. Ndani ya hiyo benki kuna islamic banking, huu ni udini ulioanza kuingia kwenye taasisi nyeti. Zipo benki za taasisi za dini zingine ila hazina udini, hakuna ukatoliki wala ulutheri kwenye benki zao. CRDB ingejulikana tu ni benki ya kiislam ieleweke hivyo