Habari za Zanzibar
JF-Expert Member
- Dec 18, 2024
- 651
- 433
Balozi Mahmoud Thabit Kombo, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, ashiriki zoezi la upandaji miti kama ishara ya kumuunga mkono Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kwa uamuzi wake wa kuadhimisha siku yake ya kuzaliwa kwa vitendo vya kulinda mazingira kupitia upandaji miti.