Waziri Kombo ashiriki zoezi la upandaji miti ishara ya kuadhimisha siku ya kuzaliwa ya Rais Samia

Habari za Zanzibar

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2024
Posts
651
Reaction score
433
Balozi Mahmoud Thabit Kombo, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, ashiriki zoezi la upandaji miti kama ishara ya kumuunga mkono Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kwa uamuzi wake wa kuadhimisha siku yake ya kuzaliwa kwa vitendo vya kulinda mazingira kupitia upandaji miti.

 
Miti yenyewe ikipandwa huko mbeleni haionekani

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…