Habari za Zanzibar
JF-Expert Member
- Dec 18, 2024
- 651
- 433
Huyo Allison naona kagonga misumari ule ule hayo mambo ya religions yanataka wapi wakuu!WAZIRI KOMBO ATETA NA BI. HOOKER WA WIZARA YA MAMBO YA NJE MAREKANI.
Tanzania na Marekani zimeonyesha dhamira ya kuendeleza uhusiano wa kidiplomasia baada ya Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Mahmoud Thabit Kombo (Mb), kukutana na Afisa Mkuu wa Masuala ya Kisiasa katika Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani, Bi. Allison Hooker.
Katika kurasa za mitandao yao ya X (zamani Twitter) Jumatano Juni 17, 2026, viongozi hao wamechapisha ujumbe kuonyesha wamekutana na kuzungumza kuhusu maendeleo ya ushirikiano wa pande mbili.
Kwa mujibu wa machapisho yao, miongoni mwa mambo waliyozungumza ni masuala ya ushirikiano wa biashara, uwekezaji, uhuru wa kuabudu na uhuru wa kujieleza, huku wakisisitiza umuhimu wa kuendeleza maslahi ya pamoja.
Allison kupitia chapisho lake la X, ameeleza dhamira ya Marekani kuendelea kushirikiana na Tanzania katika kukamilisha makubaliano na miradi mbalimbali ya kibiashara yenye manufaa kwa wananchi wa mataifa yote mawili.
Waziri Kombo katika uwanja wa maoni wa mtandao huo, alilijibu chapisho la Allison kwa kuandika, mazungumzo hayo yamekuwa yenye tija na yameonesha utayari wa pande zote kuendeleza ushirikiano wa kimkakati utakaofungua fursa zaidi za maendeleo na uchumi.
View attachment 3610217View attachment 3610218
Mh Thabit Jimbo balozi mwenzako amefafanua clearly terms za discussion, ingekuwa vema na wewe ukareflect hivyo hivyo.WAZIRI KOMBO ATETA NA BI. HOOKER WA WIZARA YA MAMBO YA NJE MAREKANI.
Tanzania na Marekani zimeonyesha dhamira ya kuendeleza uhusiano wa kidiplomasia baada ya Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Mahmoud Thabit Kombo (Mb), kukutana na Afisa Mkuu wa Masuala ya Kisiasa katika Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani, Bi. Allison Hooker.
Katika kurasa za mitandao yao ya X (zamani Twitter) Jumatano Juni 17, 2026, viongozi hao wamechapisha ujumbe kuonyesha wamekutana na kuzungumza kuhusu maendeleo ya ushirikiano wa pande mbili.
Kwa mujibu wa machapisho yao, miongoni mwa mambo waliyozungumza ni masuala ya ushirikiano wa biashara, uwekezaji, uhuru wa kuabudu na uhuru wa kujieleza, huku wakisisitiza umuhimu wa kuendeleza maslahi ya pamoja.
Allison kupitia chapisho lake la X, ameeleza dhamira ya Marekani kuendelea kushirikiana na Tanzania katika kukamilisha makubaliano na miradi mbalimbali ya kibiashara yenye manufaa kwa wananchi wa mataifa yote mawili.
Waziri Kombo katika uwanja wa maoni wa mtandao huo, alilijibu chapisho la Allison kwa kuandika, mazungumzo hayo yamekuwa yenye tija na yameonesha utayari wa pande zote kuendeleza ushirikiano wa kimkakati utakaofungua fursa zaidi za maendeleo na uchumi.
View attachment 3610217View attachment 3610218
amekutana na mabeberu, nguruwe wa lumumba tukiwambia hamna akili muwe mnaelewa mala mashoga mala mabeberu pumbavu kabisa.WAZIRI KOMBO ATETA NA BI. HOOKER WA WIZARA YA MAMBO YA NJE MAREKANI.
Tanzania na Marekani zimeonyesha dhamira ya kuendeleza uhusiano wa kidiplomasia baada ya Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Mahmoud Thabit Kombo (Mb), kukutana na Afisa Mkuu wa Masuala ya Kisiasa katika Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani, Bi. Allison Hooker.
Katika kurasa za mitandao yao ya X (zamani Twitter) Jumatano Juni 17, 2026, viongozi hao wamechapisha ujumbe kuonyesha wamekutana na kuzungumza kuhusu maendeleo ya ushirikiano wa pande mbili.
Kwa mujibu wa machapisho yao, miongoni mwa mambo waliyozungumza ni masuala ya ushirikiano wa biashara, uwekezaji, uhuru wa kuabudu na uhuru wa kujieleza, huku wakisisitiza umuhimu wa kuendeleza maslahi ya pamoja.
Allison kupitia chapisho lake la X, ameeleza dhamira ya Marekani kuendelea kushirikiana na Tanzania katika kukamilisha makubaliano na miradi mbalimbali ya kibiashara yenye manufaa kwa wananchi wa mataifa yote mawili.
Waziri Kombo katika uwanja wa maoni wa mtandao huo, alilijibu chapisho la Allison kwa kuandika, mazungumzo hayo yamekuwa yenye tija na yameonesha utayari wa pande zote kuendeleza ushirikiano wa kimkakati utakaofungua fursa zaidi za maendeleo na uchumi.
View attachment 3610217View attachment 3610218
Mkuu nyie ndio mnasababisha JF tufungwe, hujui kama huyo ni kiongozi wa Nchi na anastahili heshima?Si bogaz alisema 'who are you'??
Sasa mnaenda kujikomba komba nn huko!
Koongozi wa kvma yako Malaya mbovu weweMkuu nyie ndio mnasababisha JF tufungwe, hujui kama huyo ni kiongozi wa Nchi na anastahili heshima?
Mimi nimekushauri tuKoongozi wa kvma yako Malaya mbovu wewe
Si bogaz alisema 'who are you'??
Sasa mnaenda kujikomba komba nn huko!
Ukiua heshima huwa inapotea.Mkuu nyie ndio mnasababisha JF tufungwe, hujui kama huyo ni kiongozi wa Nchi na anastahili heshima?
Na ndiyo alichokuwa anakitqka kwa huyo HookerAmekataliwa kupiga picha...ya pamoja
Wamewashitukia. Kudadeki