Waziri Kombo ateta na Bi. Hooker wa Wizara ya Mambo ya Nje Marekani

Too late....
 
Huyu ni undersecretary ana reporr kwa Deputy Secretary ambae ana report kwa Secretary ambae ndie waziri. Sio jambo la kujisifia kuwa waziri wetu ameongea nae. Mtu wa kuongea nae ni balozi wetu sio waziri.

Amandla...
 
well done waziri Balozi Kombo, unafanya kazi nzuri sana Baba 🔥
 
Makombo mzururaji kaenda kupiga picha, damu za October 29 hazitafutwa kwa propaganda lazima zilipwe.
 
Kwa kupiga picha ajambo kila anayekutana naye anaomba msamahaa ila picha mnajifanya mnamaongezi.FBI na CIA wanawachora mtaishia magereza ya huko
 
Mkuu nyie ndio mnasababisha JF tufungwe, hujui kama huyo ni kiongozi wa Nchi na anastahili heshima?
Nchi ya huko kwenu labda! Heshima kwa muuaji aliyeua raia wake bila kosa? Wakifungia kwani wameanza leo? Wewe unadhani JF ni sehemu ya ku-discuss ngono na mahusiano? JF lengo lake kubwa ni kupigania uhai na ustawi wa binadamu.
 
Katika watu ambao wamekosa akili hapa duniani wazanzibari wamo
 
Kuongea na afisa wa chini hivyo ? Acha ungese.
ni muhimu sana kuangea na maafisa wa aina zote, iwe wa chini au wa juu, ni vizuri kushuka nao jumla jumla tu, ndivyo diplomasia ilivyo 🐒
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…