Ojuolegbha
JF-Expert Member
- Sep 6, 2020
- 1,278
- 797
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo, Mgeni rasmi katika pambano la ngumi la kimataifa kati ya Bondia Mtanzania, Ibrahim Class dhidi ya bondia kutoka Afrika ya Kusini, Simpiwe Vetyeka.
Pambano hilo limepigwa Desemba 31, 2024 Mambo Beach Jijini Dar es Salaam.
Pambano hilo limepigwa Desemba 31, 2024 Mambo Beach Jijini Dar es Salaam.