Mto wa mbu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2021
- 4,507
- 11,367
Daaa tutakuwa hapa in near future,Wanasema mama kaletewa summons akihitajika na Mahakama ya kimataifa ya makosa ya jinai (ICC)
Hawana taarifa kuwa Dunia ilisha tuelewa πππ
Kamanamuona vile Kitima na jamaa zake walivyo vimba kwa hasiraππ
Huyu ni kama Mula Omari wa Iraq.Huyo makombo acha aendelee kujidanganya , anafikiri hayo mauaji yatapita tu hivi hivi.
Mbegu mliyoipanda msije kulia baadae subiri muda tu sio mrefu mtaona matunda yake.