Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 40,476
- 26,173
Hatuwezi kusahau October 29, mpaka tuone makaburi ya ndugu zetu, hauwezi kupulizia kinyesi pafyumu heti kisitoe harufu, ndugu zetu warudi hayo mengine baadae,kwanza ilikuwa ziara ya family sio ya Serikali ndio maana alienda na wanawe.Ndugu zangu Watanzania,
Mwenye Wivu ajinyonge Tu Maana habari ndio Hiyo Inayoendelea kutikisa Dunia Nzima .
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Mahmoud Thabit Kombo amesema kuwa ziara ya Rais Samia Suluhu Hassan nchini Urusi ni ziara ambayo imeleta mtikisiko chanya wa kidunia.
Balozi Kombo ameyasema hayo leo Juni 7, 2026 Ikulu jijini Dar es Salaam wakati akizungumza na waandishi wa habari na kueleza kuwa mtikisiko huo unatokana na sababu kadhaa ikiwemo nchi idadi ya watu duniani ambao Urusi inahusiana nao wakikadiriwa zaidi ya bilioni sita.
"Nimekwenda ziara kadhaa na Mheshimiwa Rais lakini naomba nithibitishe ziara ambayo imeleta mtikisiko wa kidunia ni ziara hii ya Urusi. Mtikisiko chanya sababu ya kwanza imefanyika wakati ambapo Urusi inapanua uchumi wake kwenye bara la Afrika"
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.View attachment 3603155
Ndugu zangu Watanzania,

Hakika, DUNIA NZIMA imetikisika KUMUONA DIKTETA MWANAMKE anavyofanania!Ndugu zangu Watanzania,

that's very true 👊Ndugu zangu Watanzania,

Japo ni rafiki yangu na tulijuana tukiwa nje ya nchi,lakini kwa hii wizara haiwezi na wala haiba ya kuwa waziri wa wizara hii hana.Wakati wa Mwinyi aliwahi kumteua Hassan Diria kuwa Waziri wa mambo ya nje,yes Diria alikuwa na haiba ya wizara hii,ila huyu,mhnnnnWaziri wa Mambo ya Nje ameeleza kuwa ziara ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan nchini Urusi, imeleta "mtikisiko chanya" wenye athari kubwa ulimwenguni kote, na si kwa Tanzania pekee.
Akizungumza na waandishi wa habari, Waziri huyo alikiri na kuthibitisha uzito wa ziara hiyo kiuchumi na kidiplomasia, akibainisha kuwa imefanyika katika wakati muafaka ambapo Urusi inapanua wigo wake wa kiuchumi na kuelekeza nguvu zake katika Bara la Afrika.
"Naomba ndugu zangu waandishi wa habari nikiri mbele yenu na nithibitishe mbele yenu, ziara ambayo imeleta mtikisiko wa kidunia, si wa Tanzania tu... ni ziara hii ya Urusi ya Dkt. Samia Suluhu Hassan," alisema Waziri huyo, akifafanua kuwa mtikisiko aliouzungumzia ni chanya (positive) na wala si hasi (negative).
Huyu mjinga bado yupo anapanua domo lake. Hajui anachoongea, aliyemchagua hana uwezo wa kufikiriWaziri wa Mambo ya Nje Thabit Kombo ameeleza kuwa ziara ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan nchini Urusi, imeleta "mtikisiko chanya" wenye athari kubwa ulimwenguni kote, na si kwa Tanzania pekee.
Akizungumza na waandishi wa habari, Waziri huyo alikiri na kuthibitisha uzito wa ziara hiyo kiuchumi na kidiplomasia, akibainisha kuwa imefanyika katika wakati muafaka ambapo Urusi inapanua wigo wake wa kiuchumi na kuelekeza nguvu zake katika Bara la Afrika.
"Naomba ndugu zangu waandishi wa habari nikiri mbele yenu na nithibitishe mbele yenu, ziara ambayo imeleta mtikisiko wa kidunia, si wa Tanzania tu... ni ziara hii ya Urusi ya Dkt. Samia Suluhu Hassan," alisema Waziri huyo, akifafanua kuwa mtikisiko aliouzungumzia ni chanya (positive) na wala si hasi (negative).
Huna akiliHuyu mjinga bado yupo anapanua domo lake. Hajui anachoongea, aliyemchagua hana uwezo wa kufikiri