Waziri Kombo: Ziara ya Rais Samia Urusi imeleta 'Mtikisiko' wa Dunia

Waziri wa Mambo ya Nje Thabit Kombo ameeleza kuwa ziara ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan nchini Urusi, imeleta "mtikisiko chanya" wenye athari kubwa ulimwenguni kote, na si kwa Tanzania pekee.

Akizungumza na waandishi wa habari, Waziri huyo alikiri na kuthibitisha uzito wa ziara hiyo kiuchumi na kidiplomasia, akibainisha kuwa imefanyika katika wakati muafaka ambapo Urusi inapanua wigo wake wa kiuchumi na kuelekeza nguvu zake katika Bara la Afrika.

"Naomba ndugu zangu waandishi wa habari nikiri mbele yenu na nithibitishe mbele yenu, ziara ambayo imeleta mtikisiko wa kidunia, si wa Tanzania tu... ni ziara hii ya Urusi ya Dkt. Samia Suluhu Hassan," alisema Waziri huyo, akifafanua kuwa mtikisiko aliouzungumzia ni chanya (positive) na wala si hasi (negative).

Dunia iache mambo yake isumbuke na ziara ya nchi ambayo top 10 kwenye uchumi wa dunia haipo?

Tuache ku overhype mambo ya kawaida
 
Mtu mzima ndo anaweza kujifanya mtoto ila ni ngumu sana mtoto kujifanya mtu mzima...
 
Waziri wa Mambo ya Nje Thabit Kombo ameeleza kuwa ziara ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan nchini Urusi, imeleta "mtikisiko chanya" wenye athari kubwa ulimwenguni kote, na si kwa Tanzania pekee.

Akizungumza na waandishi wa habari, Waziri huyo alikiri na kuthibitisha uzito wa ziara hiyo kiuchumi na kidiplomasia, akibainisha kuwa imefanyika katika wakati muafaka ambapo Urusi inapanua wigo wake wa kiuchumi na kuelekeza nguvu zake katika Bara la Afrika.

"Naomba ndugu zangu waandishi wa habari nikiri mbele yenu na nithibitishe mbele yenu, ziara ambayo imeleta mtikisiko wa kidunia, si wa Tanzania tu... ni ziara hii ya Urusi ya Dkt. Samia Suluhu Hassan," alisema Waziri huyo, akifafanua kuwa mtikisiko aliouzungumzia ni chanya (positive) na wala si hasi (negative).

Faki zati mazafaka!
 
Back
Top Bottom