Kama hiyo ni ngumu means hata city & town planning ya nchi bado iko nyuma sanaLabda nyumba kubwa kubwa ila hizi za uswahili sidhani kama website zitasaidia
Si ajabu mji kama Dar umekua na misongamano ya makazi, uchafu na foleni sababu ya planning mbovu tangu mwanzo