Huwezi kuzuia madalali kulipwa kwa sababu ni makubaliano rasmi kabla mpangani hajapelekwa kuoneshwa nyumba, kama hutaki basi zoezi linaishia hapo. Hivyo mpangaji atalipa tu atake asitake kama kweli anahitaji nyumba/ chumba.Waziri wa Ardhi, William Lukuvi amepiga marufuku Madalali kuwadai Wapangaji Fedha ya Mwezi Mmoja, akiita kitendo hicho kuwa ni ujambazi
Amesema, "Kuna baadhi ya Madalali wanapangisha nyumba halafu wanachukua kwa Wapangaji Kodi ya mwezi. Hawa wanaochukua pesa za wapangaji waache mchezo huo kwasababu ni wizi wa mchana kabisa. Wewe umeajiriwa na mwenye nyumba, yeye lazima akulipe wewe"
View attachment 2011900