Waziri Lukuvi Hii ndo sababu ya Muungano?? Kama Ndiyo Basi tuna Strategies Mbovu sana

Huyu jamaa mpumbavu sana
Eti wale waarabu watarudi
Halafu akapewa uwaziri na kuongoza watu
Yaani anaongea kuzidi mlevi asie na elimu
Waarabu warudi kutafuta nini? Oman mkataba wa mafuta umeisha na sasa 💯 ni mali yao sasa warudi wapi
Halafu yupi arudi waliozaliwa Zenji au wakuja 😄
 
Mjibuni kwa hoja, acheni kumtusi na kumdhihaki Lukuvi.
Kiukweli Lukuvi Hoja Yake ya Kuwa Zanzibar Itakuwa Islamic state endapo inaachiwa Ni hoja dhaifu sana..

Miongoni mwa Nchi zilizokuwa chinu ya Waarabu Commoro Pia ilikuwepo Ila baada ya Waarabu kuondoka Komoro Inautawala wake na Waarabu hawajarudi Kutawala..

Kwahiyo Mifano ipo ya Nchi hizo
 
Asisumbue watu huyu mzee.
 

Attachments

  • A169B954-71B9-4BF8-8746-0D48F31A997D.jpeg
    207 KB · Views: 2
  • 625C25C1-4D12-4987-BBE7-9310B625D07B.jpeg
    139.5 KB · Views: 1
  • 9B204F60-BD22-494F-ABC6-3DC29C835750.jpeg
    127.4 KB · Views: 1
  • 4384BD35-5EAD-4B36-BC4D-248036CB16A3.jpeg
    137.6 KB · Views: 1
  • 6CBAEC60-6A42-4044-A236-B0950806CD47.jpeg
    105.6 KB · Views: 1
Lukuvi ana chuki na waislam
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…