cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
Mjibu kwa hoja, acha kumdhihakiLukuvi ni mpuuzi mwenye chuki
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mjibu kwa hoja, acha kumdhihakiLukuvi ni mpuuzi mwenye chuki
Kwani uongo?Nilimdharau sana huyo jamaa tangu alipoongea huo utumbo tena akaungwa na mkono kabisa kanisani
Yaani nyuma ya pazia unafikiri wanaongea mangapi?
Acha matusi jibu hoja yakeHuyu jamaa mpumbavu sana
Na wewe unaamini waOman watakujaKwani uongo?
Kwahyo Kumbe sisi tunamtaka Mzanzibar ili tumtawale na sio Kwamba awe Huru kwahyo Tunaamua Maamuzi ya Wazanzibar Kwa niaba yao??Hivi mmesahau kuwa Sultani wa Zanzibar hadi leo hii bado ni Sultani wa Zanzibar na bado anasema utawala wake ulivamiwa na wahuni akakimbilia ugenini, au hamjui hili?
Kifupi, no hoja ngumu inayoweza kuonekana ni nyepesi kutokana na historia ya taifa letu na muungano tunayoifundisha mashuleni kutokuwa ya ukweli halisia.
Leo Zanzibar ikijitenga na Tanganyika, kesho Sultani anarudi nchini mwake atawale maana watanganyika wamesaidia kuyalinda mapinduzi yaliyomtoa madarakani. Ni swala la muda tu.
Inaweza isiwe taifa la kiislamu, ila lazima Sultani atarudi kutetea utawala wake. Na ndio maana Mwl. Nyerere alisema Zanzibar ikijitenga itagundua kuna wazanzibar (wanaomuunga Sultani mkono) na kuna wazanzibara (waliomtoa Sultani madarakani). Hili fumbo watu wengi wanashindwa kufumbua alichoongea Mwl. Nyerere.
Ikumbukwe waliompindua Sultani ni watu kutoka bara (Kigoma) na Uganda nchi jirani. Sio watu wa Zanzibar walioupenda utawala wa Sultani.
Si unaona wao ndio wanaolalamika kila mara. Ina maana kuna kitu tunawabana, wangekuwa huru wasingelalamika ovyo.Kwahyo Kumbe sisi tunamtaka Mzanzibar ili tumtawale na sio Kwamba awe Huru kwahyo Tunaamua Maamuzi ya Wazanzibar Kwa niaba yao??
Na kama watajitenga kwa mfano tu na wawe na msimamo wao ina maana watatutawala watu zaidi ya 60m?Kiukweli Lukuvi Hoja Yake ya Kuwa Zanzibar Itakuwa Islamic state endapo inaachiwa Ni hoja dhaifu sana..
Miongoni mwa Nchi zilizokuwa chinu ya Waarabu Commoro Pia ilikuwepo Ila baada ya Waarabu kuondoka Komoro Inautawala wake na Waarabu hawajarudi Kutawala..
Kwahiyo Mifano ipo ya Nchi hizo