Waziri Mabula hatihati kutumbuliwa Uwaziri

Unaacha vijengwe hadi kwenye makazi ya watu?
Kuna sehemu Kilwa road kuna petrol station pande tatu zote imeungana na nyumba za watu. Nadhani ni mtongani karibu na 77 pale.
Ile hatari sana siku kituo kikilipuka moto au nyumba za pembeni zikilipuka moto na kuambukiza kituo cha mafuta.
Ama kweli sasa ni mambo ovyo zaidi ya awamu zote tangu Uhuru.
 
Sema ni naibu wake na lake oil yake
 
Na Janga la moto likitokea na kuleta maafa au spills za kuleta hazards kwenye water table hizo zinakuwa vipi ?

Mambo mengine impact yake sio economical pekee bali yana social na environmental impacts... Au unaonaje open space zote tukiweka petrol stations na malls (after all zitaleta pesa zaidi kuliko watoto wanaocheza na chandimu)...
 
kama mzaha ila ujenzi wa hivi vituo umeharibu sana water catchments, resevoirs nyingi, wetlands, hub za floods, kibaha hadi mlandizi mfano, its a good idea ila sijui
 
Madam Mabula is trying to destroy the strongholds of Msoga Kingdom!!
Hajui kuwa aliyemuweka naye kawekwa!!🤣🤣🤣
 
Hata kama vinakiuka taratibu? Sasa kazi yake nini? Basi ivunjwe hiyo wizara watu wafanye watakacho.
Vinakiukaje utaratibu? Kuna taasisi inayosimamia Kama ni NEMC, au EWURA,Kama kituo hakijakidhi vigezo hakitapewa leseni sasa kufungia vyote ni tatizo na kukurupuka.
 
Ni hatari sana kiusalama vituo vya mafuta kujengwa karibu karibu, ikitokea ajali ya moto kituo kimoja moto ukishika kituo kingine mji mzima unateketea kwa moto, asante sana waziri Mabula kusitisha vibali kwa kufanya tathmini.
 
FAKE NEWS! 🙏🙏🙏
 

Hakuna kuna utakatushaji tu wa pesa katika uwekezaji huu.
 
Wakutumbuliwa kwa maslahi mapana yawananchi kama waajiriwao ni nape na makamba kwanza wanakera kwadharau hovyosana watu hawa
 
CCM hawana jipya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…