Tetesi: Waziri Maghembe kutumbuliwa

Mpalakugenda, pori letu la Liparamba Faru wapo lakini siunajua pale Lumeme tumewekewa kibao kinasomeka Akiba la hifadhi la wanyama pori sisi tunatunza tuu ila haaaaa kila naiti Landrover zinaondoka na maliasili yetu Liparamba yangu basi tuu.
Mkuu, kama faru mmoja anauzwa Tsh 200,000,000 kuna haja ya kufuga ng'ombe ukauza Tsh 200,000...si wote tugeukie ufugaji wa faru? Naona uchumi tunao lakini tumeukalia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…