Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maelezo yako yamekaa kuchochezi chocheziKuna kila dalili kwamba Waziri wa Maliasili na Utalii, Profesa Jumanne Maghembe amekalia kuti kavu, tena kavu kwelikweli.
Sakata la kuuzwa kwa faru John na kisha yeye kubariki uuzwaji huo ni udhaifu mkubwa sana na kigezo tosha cha kumfanya aondolewe kwenye nafasi yake ya sasa. Kwa mujibu wa Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa Majaliwa, inasemekana faru huyo aliuzwa kwa thamani ya Tsh milion 200, ambapo wauzaji walitanguliziwa malipo ya Tsh milioni 100. Waziri mkuu hawezi kusema uongo. Ni dhahiri anazo taarifa za uhakika za kiintelejensia kwamba faru ameuzwa kwa bei hiyo ya kutupwa. Ndio maana wahifadhi wanashindwa kuonyesha kaburi lake lilipo kama kweli mnyama huyo wa porini alikufa.
Sintofahamu hii inakolezwa zaidi na Maghembe mwenyewe aliyediriki kumdanganya Waziri Mkuu, kwa kushirikiana na wezi wenzake, kwamba faru yule 'amekufa' huku akijua kwamba anasema uongo. Kwa sababu hizi, pamoja na sababu nyingine ambazo bado hazijawekwa wazi ili kumtumzia heshima profesa huyu, kuna kila dalili kwamba huenda Rais, Dr Joseph Pombe akatengua uteuzi wake kabla hajamaliza faru wetu.
Ikiwa waziri mwenye dhamana ya kulinda rasilimali zetu, ama kwa kujua au kwa makusudi, ameamua kushirikiana na majangili kufilisi rasilimali zetu kuna haja gani ya kuendelea kukalia kiti cha uwaziri? Kwa dhati kabisa bila unafiki wowote, mimi namuunga mkono Rais Pombe katika utumbuaji huu. Ifike wakati kila mtu aheshimu rasilimali za taifa kwa manufaa ya watanzania wa sasa na vizazi vijavyo.
Mungu mbariki Rais wetu, Mungu wabariki watanzania, Mungu bariki rasilimali zetu za Taifa. Amen.
[HASHTAG]#bringbackourrhinoalive[/HASHTAG]
Hayo madai yenu kwamba Huenda Faru John amekufa kutokana na sababu mbali mbali mnaweza kuithibitishia jamii kwa kutuonyesha kaburi lake,,,,,?Unaweza kuthibitisha habari zako kwa jamii kuwa waziri anahusika na wizi?
Ulifanya kosa gani Mkuu??Alinifukuza chuo huyu akafanya nihamie bara lingine kabisa . Naamini zamu yake nae imefika kuishi kama shetani.
[HASHTAG]#BringBackBenAlive[/HASHTAG].
Arusha CCM huwa ipo?Mama yake mdogo le mutuz aliongoa ukweli wakamfukuza huyu kaongea uongo wanamuacha sijui hii ni serikali awamu ya 5 ni matatizo tu mara rambirambi mara pesa za wahanga kununua ndege mimi sijui tu hapa kwetu Arusha ccm hawatapata chochote.
swissme
Wanatakiwa wawindeWewe unaamini kuwa wanayama wote huko mbugani huwa wanazikwa... tuonyeshe hata kaburi moja.. mnyama akifa anaachwa mzoga wake usaidie kuwa chakula ya wengine na kuendeleza ecology, unadhani fisi na tai wange ishi vipi kama mizoga inazikwa. Hakuna kaburu la John Faru.
Tupe sababu?Alinifukuza chuo huyu akafanya nihamie bara lingine kabisa . Naamini zamu yake nae imefika kuishi kama shetani.
[HASHTAG]#BringBackBenAlive[/HASHTAG].
[HASHTAG]#bringbackbensananealive[/HASHTAG]Kuna kila dalili kwamba Waziri wa Maliasili na Utalii, Profesa Jumanne Maghembe amekalia kuti kavu, tena kavu kwelikweli.
Sakata la kuuzwa kwa faru John na kisha yeye kubariki uuzwaji huo ni udhaifu mkubwa sana na kigezo tosha cha kumfanya aondolewe kwenye nafasi yake ya sasa. Kwa mujibu wa Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa Majaliwa, inasemekana faru huyo aliuzwa kwa thamani ya Tsh milion 200, ambapo wauzaji walitanguliziwa malipo ya Tsh milioni 100. Waziri mkuu hawezi kusema uongo. Ni dhahiri anazo taarifa za uhakika za kiintelejensia kwamba faru ameuzwa kwa bei hiyo ya kutupwa. Ndio maana wahifadhi wanashindwa kuonyesha kaburi lake lilipo kama kweli mnyama huyo wa porini alikufa.
Sintofahamu hii inakolezwa zaidi na Maghembe mwenyewe aliyediriki kumdanganya Waziri Mkuu, kwa kushirikiana na wezi wenzake, kwamba faru yule 'amekufa' huku akijua kwamba anasema uongo. Kwa sababu hizi, pamoja na sababu nyingine ambazo bado hazijawekwa wazi ili kumtumzia heshima profesa huyu, kuna kila dalili kwamba huenda Rais, Dr Joseph Pombe akatengua uteuzi wake kabla hajamaliza faru wetu.
Ikiwa waziri mwenye dhamana ya kulinda rasilimali zetu, ama kwa kujua au kwa makusudi, ameamua kushirikiana na majangili kufilisi rasilimali zetu kuna haja gani ya kuendelea kukalia kiti cha uwaziri? Kwa dhati kabisa bila unafiki wowote, mimi namuunga mkono Rais Pombe katika utumbuaji huu. Ifike wakati kila mtu aheshimu rasilimali za taifa kwa manufaa ya watanzania wa sasa na vizazi vijavyo.
Mungu mbariki Rais wetu, Mungu wabariki watanzania, Mungu bariki rasilimali zetu za Taifa. Amen.
[HASHTAG]#bringbackourrhinoalive[/HASHTAG]
Arusha CCM huwa ipo?
Sasa muda wote huo wanasubiri nini kama wanajua Maghembe kawalisha matango pori? Majigambo mengi tu hakuna lolote watakalomfanya. Au wanajadiliana naye exit strategy?Kuna kila dalili kwamba Waziri wa Maliasili na Utalii, Profesa Jumanne Maghembe amekalia kuti kavu, tena kavu kwelikweli.
Sakata la kuuzwa kwa faru John na kisha yeye kubariki uuzwaji huo ni udhaifu mkubwa sana na kigezo tosha cha kumfanya aondolewe kwenye nafasi yake ya sasa. Kwa mujibu wa Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa Majaliwa, inasemekana faru huyo aliuzwa kwa thamani ya Tsh milion 200, ambapo wauzaji walitanguliziwa malipo ya Tsh milioni 100. Waziri mkuu hawezi kusema uongo. Ni dhahiri anazo taarifa za uhakika za kiintelejensia kwamba faru ameuzwa kwa bei hiyo ya kutupwa. Ndio maana wahifadhi wanashindwa kuonyesha kaburi lake lilipo kama kweli mnyama huyo wa porini alikufa.
Sintofahamu hii inakolezwa zaidi na Maghembe mwenyewe aliyediriki kumdanganya Waziri Mkuu, kwa kushirikiana na wezi wenzake, kwamba faru yule 'amekufa' huku akijua kwamba anasema uongo. Kwa sababu hizi, pamoja na sababu nyingine ambazo bado hazijawekwa wazi ili kumtumzia heshima profesa huyu, kuna kila dalili kwamba huenda Rais, Dr Joseph Pombe akatengua uteuzi wake kabla hajamaliza faru wetu.
Ikiwa waziri mwenye dhamana ya kulinda rasilimali zetu, ama kwa kujua au kwa makusudi, ameamua kushirikiana na majangili kufilisi rasilimali zetu kuna haja gani ya kuendelea kukalia kiti cha uwaziri? Kwa dhati kabisa bila unafiki wowote, mimi namuunga mkono Rais Pombe katika utumbuaji huu. Ifike wakati kila mtu aheshimu rasilimali za taifa kwa manufaa ya watanzania wa sasa na vizazi vijavyo.
Mungu mbariki Rais wetu, Mungu wabariki watanzania, Mungu bariki rasilimali zetu za Taifa. Amen.
[HASHTAG]#bringbackourrhinoalive[/HASHTAG]
Kuna mmoja aliwahi kudanganya, aliyemtuhumu kusema uongo akaambiwa alete ushahidi. Ushahidi ulipoletwa ukapotezewa.....kwa maana hiyo PMs hawapo immune na uongo.Mkuu sio kweli kwamba waziri mkuu hawezi kusema uongo.
Tupe sababu?
Ulifanya kosa gani Mkuu??
Tatizo la mfumo, Waziri ni zaidi ya Mungu! Haya lazima yabadilike. Ona Ndalichako anavyovuruga elimu kutokana anachokiota/kiamu may be kwa kushauriana na mume wake, marafiki zake, watoto wake, wakwe zake etc !Mwaka 2008 Profesa akiwa kama waziri wa elimu aliwatimua na kuwarudisha nyumbani wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar UDSM kampasi ya Mlimani nadhani waliokuwepo wanaelewa hili na mambo mengine yaliowakumba vinara na wakereketwa wa mgomo ule . Wengine hawakurudi ILA wengine walirudi kwa masharti magumu sana.
Mkuu sio kweli kwamba waziri mkuu hawezi kusema uongo.
Aisee unakumbuka ee[emoji23][emoji23][emoji23]yule jamaa alifanya tupigwe mabomu ya machozii khaaaaaaMgomo moja hivi hapo mlimani Kuna jamaa alikuwa anaitwa Odwar Odong mganda dah jamaa alikuwa jembe Sana.
Aisee unakumbuka ee[emoji23][emoji23][emoji23]yule jamaa alifanya tupigwe mabomu ya machozii khaaaaaa