Return Of Undertaker
JF-Expert Member
- Jun 12, 2012
- 4,572
- 26,885
Waziri wa Katiba na Sheria, Balozi Augustine Mahiga amesema kompyuta zilizoibwa ni za ofisi ya mashtaka mkoa wa Dar na sio ofisi ya Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) nchini Tanzania na kwamba nyaraka za wahujumu uchumi zipo mahali salama.
"Ofisi ya Mkurugenzi Mkuu anayeshughulikia mashtaka ya serikali haikuguswa, nyaraka zote zipo, taarifa zote zipo, na kazi yake inaendelea" - Waziri Augustine Mahiga.
Chanzo: Mwananchi
"Ofisi ya Mkurugenzi Mkuu anayeshughulikia mashtaka ya serikali haikuguswa, nyaraka zote zipo, taarifa zote zipo, na kazi yake inaendelea" - Waziri Augustine Mahiga.
Chanzo: Mwananchi