Panda Kapesi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2011
- 345
- 220
Kwi
Kwi kwi kwi hata kwangu mimi haiingii akiliniYaani "fununu" tu za kuibiwa "vipande vya kompyuta" katika ofisi ya "DPP wa mkoa wa Dar es Salaam" kama ilivyokuja kutangazwa baadae na waziri wa sheria na katiba ndiyo zimfanye rais akatishe ziara?