Return Of Undertaker
JF-Expert Member
- Jun 12, 2012
- 4,572
- 26,885
Afadhali.......Chadema watatafuta mjadala mwingine!Waziri wa Katiba na Sheria, Balozi Augustine Mahiga amesema kompyuta zilizoibiwa ni za ofisi ya mashtaka mkoa wa Dar na sio ofisi ya Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) nchini Tanzania, Biswalo Mganga #MwananchiUpdates
Kama DPP alisema kuwa ameibiwa, yeye ndiye alitakiwa kuja kukanusha kwamba hakuibiwa, na siyo mwingine kuja hapa kusema aliyeibiwa ni kwingine(ofisi ya mashtaka Mkoa wa Dar), Je wana share office?Wanatuona sisi mafala sana. DPP alisema ni Ofisi yake. Leo anajitokeza mtu anasema ni za Dar pekee
Swali: Kwani washtakiwa hao wa ufisadi wako wapi?Kama DPP alisema kuwa ameibiwa, yeye ndiye alitakiwa kuja kukanusha kwamba hakuibiwa, na siyo mwingine kuja hapa kusema kulikoibiwa ni kwingine(ofisi ya mashtaka Mkoa wa Dar), Je wana share office?
Watu wanataka kuona majina ya walioomba msamaha na wanarudisha shs. ngapi?, watajeni tu na komputa zitarudishwaAfadhali.......Chadema watatafuta mjadala mwingine!
πππ mambosasa angechomoa betri. Wamejifunza issue ya Mo, nasikia Mambosasa na Sirro walifanya yao.Hahahah ndo maana walimkataza Mambosasa asiongee maana angewachomea script
kumbe Chadema ndiyo wenye dhamana ya kulinda raiya na mali zake????Afadhali.......Chadema watatafuta mjadala mwingine!
Kuna tofauti gani kati ya ofisi hizo mbili?Swali: Kwani washtakiwa hao wa ufisadi wako wapi?
Jibu : Dar
Swali: Ofsi ya Mashtak inayoendesha kesi zao ni ipi?
Jibu: ya Dar
Swali: Kwa hiyo data zao na mafaili ya kesi yanatunziwa wapi?
Jibu: ofsi ya mashtaka ya Dar.
Swali: je computer zilizoibiwa ni za ofsi ipi ya mashtaka?
Jibu: ya mkoa wa Dar.
Sina swali la nyongeza
Hata kama mu waoinzani lakini mfike mahali muwe mnajirydishia ufahamu.Swali: Kwani washtakiwa hao wa ufisadi wako wapi?
Jibu : Dar
Swali: Ofsi ya Mashtak inayoendesha kesi zao ni ipi?
Jibu: ya Dar
Swali: Kwa hiyo data zao na mafaili ya kesi yanatunziwa wapi?
Jibu: ofsi ya mashtaka ya Dar.
Swali: je computer zilizoibiwa ni za ofsi ipi ya mashtaka?
Jibu: ya mkoa wa Dar.
Sina swali la nyongeza
Achana naye huyo, hajijui hata anapigania nini. Ndio shida ya ngumbaru kujihisi ana shahada.kumbe Chadema ndiyo wenye dhamana ya kulinda raiya na mali zake????