Waziri Mahiga: Kompyuta zilizoibwa ni za ofisi ya mashtaka mkoa wa Dar na sio ofisi ya DPP

Ikiwa kila kitu kiko buckup kwenye servers, ukiokota ka computer kamoja katakusaidia nini? Ni 2019, usifikiri JF yote iko ndani ya simu yako.
 
Shauri zao watajijua wenyewe...

Na kwa nini ziibiwe kwanza, tena kipindi hichi...


Cc: mahondaw
 
Waziri wa Katiba na Sheria, Balozi Augustine Mahiga amesema kompyuta zilizoibiwa ni za ofisi ya mashtaka mkoa wa Dar na sio ofisi ya Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) nchini Tanzania, Biswalo Mganga #MwananchiUpdates

Hahaha bawacha bhana mmeambiwa ni za ofisi ndogo na mafaili yapo na yapo salama hahaha mtakoma mwaka huu
 
Hahaha bawacha bhana mmeambiwa ni za ofisi ndogo na mafaili yapo na yapo salama hahaha mtakoma mwaka huu
Sasa huyu si ametupa repoti ambayo ipo na imetoka serikalini? Sasa Bawacha watakoma kwa lipi? Mbona kuna muda najidanganyaga kuwa una akili?
 
Kibao kimegeuka, anakwenda sasaaa hatari pale kwenye lango la la laaah kumbe magoli yamehamishwa namna gani pale...!!
 
We jamaa inatakiwa uache upoyoyo hata kama mahaba yamekuzidi lakini sasa hiyo ni too much...hukumsikia kamanda wa polisi kanda maalumu ya Dar es salaam alichosema jana? Kwa taarifa yako sasa kamanda wa polisi hawezi kutoa taarifa pasipo kuthibitisha tukio lenyewe na mahali husika ukiona mpaka katoa taarifa kwamba ofisi zilizoibiwa ni za DPP ujue amethibitisha kutokea tukio hilo mahali tajwa sasa wewe jitoe tu ufahamu kisa una mahaba utabaki na upoyoyo wako hivyohivyo...alichofanya Mahiga ni kwamba katoa statement hili kustopisha maswali yaliyokuwa yanaulizwa inakuaje ofisi ya DPP inaibiwa?..na DPP mwenyewe alishasema ofisi yake imeibiwavl unataka nini tena?
 

[emoji1610][emoji1610]
 
Ungekunywa kwanza Maji mkuu,labda ungepunguza jazba.
 
Kwa hiyo mwendesha mashtaka wa mkoa wa Dar es salaam anaitwa DPP? Basi kama no hivyo Mamboleo ni mbulula!
 
Ushachukuliwa pouwa vingapi na umekaa tu.haraf unakuja hapa unaandika Mytake acha ujinga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…