Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,482
- 27,182
aliyetuletea dini ametupunguzia mzigo wa kuwa na akili kubwa alafu isiyo na kazi.
akili kubwa wananielewa
Ukweli Ni Kwamba Hata Ukienda MENTAL HOSPITA kama wewe ni Doctor ukimchukua Mgonjwa Wa Akili ili Kumchoma Sindano basi Atakwambia "WEWE HUNA AKILI! UTANICHOMAJE SINDANO KIRAHISIRAHISI?"
Ah! Kumbe Hata Mgonjwa Wa Akili Hujiona Kuwa Ana Akili Nyingi Kuliko Wenziwe.
That is Why You think Youre More Intelligent Compared to others.
Kwahiyo Wenye Akili Kubwa Kwa Uwendawazimu Nakubali Watakuelewa Kweli.
Bila Ya Kuwa na imani Ya Dini Yako Yoyote Unayoiyamini, Huwezi Kuwa Na Akili Timamu.
Ni Atheist Peke Yao Ndiyo Wanaoamnini Kuwa Dini inasababisha Hayo Uliyoyasema