Waziri Mahiga: Serikali ya Uturuki imetuambia wamiliki wa shule za Feza ni magaidi

Waziri Mahiga: Serikali ya Uturuki imetuambia wamiliki wa shule za Feza ni magaidi

al haramaini, al farouq, na sasa Feza. hizi taasisi kumbe zina wafazili huko Torabora?

Umesahau Na Ubungo Islamic Mkuu!! Nakushauri Uandae Proposal upeleke Kwa Waziri Husika ili Zikafungiwe, Si Zinakera...
 
Unaanzaje kuita uzushi wkt ujafanya research

Sasa Wewe Tuletee Result Ya Hiyo Research Aliyoifanya Huyo Balozi Wa Uturuki Hata Akabaini Ugaidi Katika Hiyo Shule..
Balozi Kaleta Uzushi Bila Ya Research, Lakini Akipingwa Unadai Research! Mkuu Huoni Kuwa Hiyo ni Hypocrisy??

Sasa Kuna Ubaya Gani Wa Kupinga Jambo lisilo na Ushahidi??

Sasa Na wewe Tuletee Research Yako Ndogo Kwa Kuhoji Wanafunzi Wanaosoma au Waliosoma Feza Wasiopungua 5 wakuthibitishie Ukweli Wa Hile Shile
 
Wakatoliki utawajua tuu. Wamezoea fitina majungu
"Mtakalofunga Duniani na Mbinguni limefungwa"

Waliambiwa mababa wa Kanisa (Church Furthers). "Roma Locuta causa finito east"-Roma ikisema dunia inatekeleza. Huwezi pambana vita na Katoliki ukashinda. Mtabaki kulalamika Daima.
 
Ni kweli kwani ndio waanzilishi wa freemason duniani. Waliobadili mafundisho sahihi ya Yesu.
Waliokugeuza ukawa mtumwa wa kifkra kwa kila jambo
 
Ni kweli kwani ndio waanzilishi wa freemason duniani. Waliobadili mafundisho sahihi ya Yesu.
Waliokugeuza ukawa mtumwa wa kifkra kwa kila jambo
Lakini bado hao hao unaowaita wewe Freemasons wanakuongoza na we we huna ubavu wa kukataa kuongoza na wanaamua ww taasisi yako ya kushughulika na imani yako iweje. Teh teh the machozi ya Samaki
 
Nani kasema dini hapa? Huyo gulan na hao wengine ni dini gani? Kwa nini mnakuwa wapumbavu? Tunaongelea taarifa iliyop mezani ya ugaidi na uhaini, wewe unaibuka na upumbavu mwingine. Tafadhali kama huwezi kuwa focused acha kujadili na mimi.
Punguza hasira. Taarifa inadai baadhi ya waalimu kutumia mbinu za kigaidi kufundishia.
 
Lakini bado hao hao unaowaita wewe Freemasons wanakuongoza na we we huna ubavu wa kukataa kuongoza na wanaamua ww taasisi yako ya kushughulika na imani yako iweje. Teh teh the machozi ya Samaki
Na sikuwaita mimi. Soma kitabu chenu 'Danieli na siku zetu, Pambano kuu,Utabiri wa mambo yajayo' vyote vya A.Whete
 
Erdogan ni kama mwanamke malaya akiwa na mume ana hela anaringa sana akiachwa anasema mashoga zake ndio tatizo anagombana na kila mtu...ni mtu asie na maadili anafadhili mauaji syria..anafadhili mauaji Libya... akijidanganya kwamba yuko salama kule kisa yuko tu Nato..majuzi hapa alikua anaua askari wa Urusi alivyoambiwa omba msamaha akatoa kejeli sitaomba msamaha na wala sibabaiki...putin alivyombana wananchi wakalia alivyofanyiwa jaribio huyo huyo kakimbia kuomba msamaha Urusi...sasa anajifanya Rafiki wa Urusi kisa tu Obama kagoma kumtoa yule bwana ambae yeye anamtuhumu...sasa hana urafiki na watu wa Nato ambao ndio walimpa kiburi akawatukana warusi..leo kabanwa na hao hao Nato anaanza kuona hata shule ya Feza ni tishio kwake..amri zake hizi akatoe somalia kule sio hapa...
 
Kama serikali yao imesema ni magaidi basi watakuwa ni magaidi tu. Hata mbinu zao za kufundishia ni za kigaidi tu
 
Ni kweli kwani ndio waanzilishi wa freemason duniani. Waliobadili mafundisho sahihi ya Yesu.
Waliokugeuza ukawa mtumwa wa kifkra kwa kila jambo
Yani mtu akianza tu kuongelea Freemason, nampuuza ,namuona bwege, uwezo mdogo sana wa kufkiria, namhurumia.
 
kulikuwa na maana gan kulisema hili hadharani mi nadhan hili ni swala la serikali hz mbili kufuatilia kwa kina ndio ukweli ujulikane lkn kulisema hadharan inadhihirisha kabsa kuwa serikal ya wa tz haikubalian na serikal ya turkey kwa hilo lkn kma wamesema wao kwann mnawabixhia!? thkn twice
 
Waturuki wenyewe wanasema FEZA ni magaidi alafu nyie wabongo mnaleta ubishi..... Povu jingi..... Subirini muone
Kama al-haramain vile. Wanaanza kuichimbia kaburi taratibu. Kutoka one of the best shule mpaka shule ya ovyo-ovyo.
 
Waturuki wenyewe wanasema FEZA ni magaidi alafu nyie wabongo mnaleta ubishi..... Povu jingi..... Subirini muone

Acha ujinga wewe. Kwahiyo wewe ukiambiwa baba yako ni mwizi utaamini? Watu kama ninyi ni hatari sana kwa mustakabali wa jamii na taifa kwa ujumla kutokana na kuamini kila mnachosikia. Serikali ya Uturuki inataka kusambaza matatizo yake hadi nje ya mipaka yake na kinachotakiwa na serikali yetu ni kufanya uchunguzi ili kujiridhisha na tuhuma hizo na siyo kukurupuka tu.
 
Bahati nzuri watoto wanaosoma huko FEZA ni wa akina Mahiga hilo halina shaka kuwa litaishia juu kwa juu.
 
Back
Top Bottom