Atampeleka SHABA.Sasa na mtoto wa mkuu anasoma FEZA itakuwaje?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Atampeleka SHABA.Sasa na mtoto wa mkuu anasoma FEZA itakuwaje?
Hizi ndio akili za watu waliofirisika ubongo na kuweza kumuuzia timu muhindi mmoja kwa siku moja wakati babu zenu kwa miaka 80 waliijenga timu hiyo.
Unaanzaje kuita uzushi wkt ujafanya research au kwasababu mmefundishwa kila kitu kupinga ata usipoielewa madaHapo kunatengenezwa uzushi kuzichafua hizo shule hakuna lingine,tunajua upande flani hauna haki hapa tanzania basi tuachieni hata hivyo vichache jamani.
Ugaidi hauna dini; ukitakakutambua hilo tafuta jibu la ugaidi nini?
ok nimekusoma ingawa uu ugaidi huwa unahusishwa na dini fulani maranyingi sijui kwa nini?Ugaidi hauna dini; ukitakakutambua hilo tafuta jibu la ugaidi nini?
Niwie radhi Mkuu, pamoja na kuwa sikuponda shule yoyote lakini kuhusu mtoto wangu kushiriki kumfurukisha ni jinai na nafsi yangu itanisuta!shule za Kanisa unazoponda ndiyo wanao wanasoma
Zina ufadhili kutoka Vaticanal haramaini, al farouq, na sasa Feza. hizi taasisi kumbe zina wafazili huko Torabora?
Na kama sikosei toka Kabul na Kandaharal haramaini, al farouq, na sasa Feza. hizi taasisi kumbe zina wafazili huko Torabora?
Niwie radhi Mkuu, pamoja na kuwa sikuponda shule yoyote lakini kuhusu mtoto wangu kushiriki kumfurukisha ni jinai na nafsi yangu itanisuta!
Pepo la udini limekujaa, shule za feza kwani za bakwata au jumuiya ya waislam? We vipi weweHapo kunatengenezwa uzushi kuzichafua hizo shule hakuna lingine,tunajua upande flani hauna haki hapa tanzania basi tuachieni hata hivyo vichache jamani.
Tusi si dawa na hekima ya kujibu hoja ili ni upungufu wa kutafakari na dharau ya kutolielewa fungu lako la jamii yako asili.PoleBadala ya kuona unafuu Tupate shule nzuri kama hizo unaanza kuleta ushindani usio na maana we Jamaa Bwana kweli zao la uhayawani
Kwani shule za St Mary, St Joseph nk. ni shule za jumuia ya makanisa? si zinamilikiwa na watu binafsi?Pepo la udini limekujaa, shule za feza kwani za bakwata au jumuiya ya waislam? We vipi wewe
Mkuu asante sana! Tabia zile zile zilizopelekea Mtume Paulo kuwaandikia barua "kali" bado zingalipo kabla na hata baada ya kugeukia "miungu mingine". "... enyi wagalatia msio na akili ..." bado inawahusu hadi leo maana ndio desturi na utamaduni wao. Sidhani kama baadhi akina FaizaFoxy Kaabah Ritz nasmapesa na wengineo wanajua hii kitu ...Wagaratia wanaozungumziwa kwenye biblia ndio Waturuki haswa.. Nadhani waislam wote waeleweni hii jamii ndio tabia yao wakigombana wao kwa wao na wewe una urafiki nao wote wanakuambia uchague upande mmoja. Zama hizo waliitwa watu wapumbavu.
Erdogan anatumia mwanya Wa mapinduzi kuteketeza adui zake wote... Hadi walimu wauza pipi n.k yaani mpango wake sio kuwazuia au kuwafunga Bali kuwanyonga wote... Watatoa msimamo wao soon na hizo shule watazichukua serikali ya Ankara
Hujielewi na wewe , seminary zote za Kanisa ukitoa hizo st nyingine za wasanii. Hivi hamuweI kukaa bila kuhusianisha kila kitu na dini eeh, hovyo kweli, mnashindana na kivuli. JiamininiKwani shule za St Mary, St Joseph nk. ni shule za jumuia ya makanisa? si zinamilikiwa na watu binafsi?
Mkuu asante sana! Tabia zile zile zilizopelekea Mtume Paulo kuwaandikia barua "kali" bado zingalipo kabla na hata baada ya kugeukia "miungu mingine". "... enyi wagalatia msio na akili ..." bado inawahusu hadi leo maana ndio desturi na utamaduni wao. Sidhani kama baadhi akina FaizaFoxy Kaabah Ritz nasmapesa na wengineo wanajua hii kitu ...
Hivi hamuweI kukaa bila kuhusianisha kila kitu na dini eeh
Samahani Mkuu! Usidandie Gari Kwa Mbele, Hebu Anza Kupitia Reply #1 uendelee ili ujue Ni Nani na Wa Dini Gani alieanza Kuleta Udini Kwenye Uzi Huu.
Siku Munatengeneza Mazingira Ya Kuwa Muzungumzie Jambo Nyinyi tu, Tukijibu Hoja Munajitetea Kwa Kutuita Wadini!! Kwanini iwe Hivyo???[/QUOTE
Soma reply yangu ya kwanza, alichokiandika, context.