DOKEZO Waziri Makamba fuatilia kwa makini miradi mingi ya REA wakandarasi wanatumia waya za 25mm badala ya 50mm kwenye service line

DOKEZO Waziri Makamba fuatilia kwa makini miradi mingi ya REA wakandarasi wanatumia waya za 25mm badala ya 50mm kwenye service line

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Sikuwq nq lengo lq kupingana nawe bqli nilikuwa naongelea trend ya power consuption kutakana na tech, hata kwenye magari zile heavy specced wires hazipo tena ni mwendo wa led
Nakubaliana nawe pia kwa maeneo ya viwanda , three phase ,waya unatakiwa uwe mnene ulioshiba ,kama kweli wanaweka nyaya dhaifu maeneo kama hayo ni dhahiri watapata hasara maana zitaungua kila leo
Kamwe hawezi kukuelewa, amebakia na ile elimu ya hakina Dr. Shika.
 
Ndugu Mteja,

Tunashukuru kwa taarifa na uzalendo mkubwa ulionesha, tafadhali onesha ni mradi wa eneo gani haswa na namba yako ya simu kwa ufatiliaji na hatua zaidi,

TANESCO tupo kukusikiliza

Asante
Number ya simu itakusaidia nini
 
Niwashukuru kwa uungwana japo kuonesha kujali,
Nitakuja pm nitatoa no ya simu kwa mawasiliano,
Angalizo,
Akaunti zetu humu JF ni za siri hivyo natumai usiri huu utadumishwa mara baada yakutoa no zangu za simu kwa mawasiliano,
Mwishokabisa nawahakikishia wana JF nitawapa mrejesho wa nitakayoyapata kutoka TANESCO,
Asante!
Usitoe number ya mawasiliano.. Wewe waambie mradi ulipo wao wafuatilie
 
Niwashukuru kwa uungwana japo kuonesha kujali,
Nitakuja pm nitatoa no ya simu kwa mawasiliano,
Angalizo,
Akaunti zetu humu JF ni za siri hivyo natumai usiri huu utadumishwa mara baada yakutoa no zangu za simu kwa mawasiliano,
Mwishokabisa nawahakikishia wana JF nitawapa mrejesho wa nitakayoyapata kutoka TANESCO,
Asante!
Tafadhali, unaweza ukaeleza sehemu hilo jambo linafanyika bila kutoa mawasiliano yako. Mnaweza kuwasiliana PM na ukawapa details zote bila ulazima wa namba yako ya simu.

Usitoe taarifa zozote zikazobainisha utambulisho wako
 
Ndugu Mteja,

Tunashukuru kwa taarifa na uzalendo mkubwa ulionesha, tafadhali onesha ni mradi wa eneo gani haswa na namba yako ya simu kwa ufatiliaji na hatua zaidi,

TANESCO tupo kukusikiliza

Asante
Mnapoboa ni hapo mnapotaka watu wawape taarifa zao..!! Hivi hamuwezi kufuatilia jambo mpaka mumjue aliyewapa taarifa?? Kwani mlikopokea miradi ya REA hamkujui? Si mkaangalie huko kama kuna wata zisizofaa.!? AU MNATAKA KUMPOTEZA MTOA TAARIFA?
 
Niwashukuru kwa uungwana japo kuonesha kujali,
Nitakuja pm nitatoa no ya simu kwa mawasiliano,
Angalizo,
Akaunti zetu humu JF ni za siri hivyo natumai usiri huu utadumishwa mara baada yakutoa no zangu za simu kwa mawasiliano,
Mwishokabisa nawahakikishia wana JF nitawapa mrejesho wa nitakayoyapata kutoka TANESCO,
Asante!
Usithubutu kutoa namba wala taarifa zako..!!! Hapo hujui unaongea na nani. Wewe nenda PM kawaambie tatizo ipo wapi. Wao wanajua hapo lilipo tatizo nani aliifanya kazi hiyo na nani aliopokea baada ya kuonekana imekamilika. Wataanzia hapo
 
Katika mashirika ambayo yamekithiri wizi, uhuni, ubabaishaji, rushwa, uzembe na urasimu,hili ni NAMBA MOJA. Halibadiliki na hayupo wa kulibadilisha.
 
Bwana Maharage angekua na akili wakati mdogo asingekubali kuitwa hivyo,usikute walimpa hilo jina baada ya kuzaliwa msimu wa maharage na familia kupata maharage mengi. Lakini ni mmoja wa wafanyakazi hodari kabisa
Yani alikuwa anapenda sana kula maharage na chande wale wadudu[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ndugu Mteja,

Tunashukuru kwa taarifa na uzalendo mkubwa ulionesha, tafadhali onesha ni mradi wa eneo gani haswa na namba yako ya simu kwa ufatiliaji na hatua zaidi,

TANESCO tupo kukusikiliza

Asante
Safi
 
Back
Top Bottom