Kamwe hawezi kukuelewa, amebakia na ile elimu ya hakina Dr. Shika.Sikuwq nq lengo lq kupingana nawe bqli nilikuwa naongelea trend ya power consuption kutakana na tech, hata kwenye magari zile heavy specced wires hazipo tena ni mwendo wa led
Nakubaliana nawe pia kwa maeneo ya viwanda , three phase ,waya unatakiwa uwe mnene ulioshiba ,kama kweli wanaweka nyaya dhaifu maeneo kama hayo ni dhahiri watapata hasara maana zitaungua kila leo
Number ya simu itakusaidia niniNdugu Mteja,
Tunashukuru kwa taarifa na uzalendo mkubwa ulionesha, tafadhali onesha ni mradi wa eneo gani haswa na namba yako ya simu kwa ufatiliaji na hatua zaidi,
TANESCO tupo kukusikiliza
Asante
Usitoe number ya mawasiliano.. Wewe waambie mradi ulipo wao wafuatilieNiwashukuru kwa uungwana japo kuonesha kujali,
Nitakuja pm nitatoa no ya simu kwa mawasiliano,
Angalizo,
Akaunti zetu humu JF ni za siri hivyo natumai usiri huu utadumishwa mara baada yakutoa no zangu za simu kwa mawasiliano,
Mwishokabisa nawahakikishia wana JF nitawapa mrejesho wa nitakayoyapata kutoka TANESCO,
Asante!
Tafadhali, unaweza ukaeleza sehemu hilo jambo linafanyika bila kutoa mawasiliano yako. Mnaweza kuwasiliana PM na ukawapa details zote bila ulazima wa namba yako ya simu.Niwashukuru kwa uungwana japo kuonesha kujali,
Nitakuja pm nitatoa no ya simu kwa mawasiliano,
Angalizo,
Akaunti zetu humu JF ni za siri hivyo natumai usiri huu utadumishwa mara baada yakutoa no zangu za simu kwa mawasiliano,
Mwishokabisa nawahakikishia wana JF nitawapa mrejesho wa nitakayoyapata kutoka TANESCO,
Asante!
Mnapoboa ni hapo mnapotaka watu wawape taarifa zao..!! Hivi hamuwezi kufuatilia jambo mpaka mumjue aliyewapa taarifa?? Kwani mlikopokea miradi ya REA hamkujui? Si mkaangalie huko kama kuna wata zisizofaa.!? AU MNATAKA KUMPOTEZA MTOA TAARIFA?Ndugu Mteja,
Tunashukuru kwa taarifa na uzalendo mkubwa ulionesha, tafadhali onesha ni mradi wa eneo gani haswa na namba yako ya simu kwa ufatiliaji na hatua zaidi,
TANESCO tupo kukusikiliza
Asante
Usithubutu kutoa namba wala taarifa zako..!!! Hapo hujui unaongea na nani. Wewe nenda PM kawaambie tatizo ipo wapi. Wao wanajua hapo lilipo tatizo nani aliifanya kazi hiyo na nani aliopokea baada ya kuonekana imekamilika. Wataanzia hapoNiwashukuru kwa uungwana japo kuonesha kujali,
Nitakuja pm nitatoa no ya simu kwa mawasiliano,
Angalizo,
Akaunti zetu humu JF ni za siri hivyo natumai usiri huu utadumishwa mara baada yakutoa no zangu za simu kwa mawasiliano,
Mwishokabisa nawahakikishia wana JF nitawapa mrejesho wa nitakayoyapata kutoka TANESCO,
Asante!
Yani alikuwa anapenda sana kula maharage na chande wale wadudu[emoji23][emoji23][emoji23]Bwana Maharage angekua na akili wakati mdogo asingekubali kuitwa hivyo,usikute walimpa hilo jina baada ya kuzaliwa msimu wa maharage na familia kupata maharage mengi. Lakini ni mmoja wa wafanyakazi hodari kabisa
SafiNdugu Mteja,
Tunashukuru kwa taarifa na uzalendo mkubwa ulionesha, tafadhali onesha ni mradi wa eneo gani haswa na namba yako ya simu kwa ufatiliaji na hatua zaidi,
TANESCO tupo kukusikiliza
Asante