Waziri Makamba: Hakuna uhaba wa mafuta nchini, amtaka Mkurugenzi wa TPDC akajieleze kabla hawajachukua hatua

Kumbe next week?? nilidhani kesho.
 
Sasa matank ya jamaa yako anakofanya kibarua kukosa mafuta ndio nchi imekosa mafuta? Acha upuuzi bwana, hakuna serikali zembe hivyo hata ingeongozwa na kibajaji
 
Labda aliwahi kupitiwa na garika lake

Maana siyo kwa malalamiko hayo


Ova
 
Unataka kusema kuwa marais 4 wa ukanda wa pwani sio ?!!!!

Acha kupanikishwa na maneno koko ya mtoa thread......
 

Suzy Elias "kazini" dhidi ya mh.komredi Makamba......

Suzy Elias unazusha taharuki ya uongo tu.......🤣🤣🤣



 
R.I.P Magufuli. Ama kweli tunaona haya yanayotokea baada ya kifo chako. Makamba kaingia tu kwenye wizara ,mikutano na mabeberu, mara umeme umeanza kukatika ovyo ovyo, mara mafuta, tutaona mengi
Umeingizwa mkenge na Suzy Elias nawe umeuingia 🤣🤣
 
Kaka meli itaingia wiki hii kutakua na uhaba wa mafuta? Tuache viherehere tusubiri muda ufike
 
Huo ni mpango mkakati wa kampuni moja kubwa iliyochipusha vituo vyake nchi nzima
 
Mzena hakuna monchwari, aliyekwambia hivyo kakupiga fix.
 
Sasa matank ya jamaa yako anakofanya kibarua kukosa mafuta ndio nchi imekosa mafuta? Acha upuuzi bwana, hakuna serikali zembe hivyo hata ingeongozwa na kibajaji
Mpumbavu sana huyu Dada Suzy Elias, nashauri iwapo next week kutakuwa na mafuta nchini, Mimi nipigwe "ban" ya milele. Ila iwapo mafuta yatakuwapo basi Suzy Elias Apigwe ban yeye. Halafu aje na ID nyingine

Hana cha kuandika zaidi ya January, TANESCO, Mafuta
 
Huo ni mpango mkakati wa kampuni moja kubwa iliyochipusha vituo vyake nchi nzima
Lake oil ni washenzi sitaki hata kuwasikia, lakini kwa hili la uhaba wa mafuta ni propaganda uchwara tu za watoto yatima.

Mdogo wangu yupo TPA na ndio wapo deep sea hakuna tatizo la upatikani wa mafuta.
 
Kaka meli itaingia wiki hii kutakua na uhaba wa mafuta? Tuache viherehere tusubiri muda ufike
Kama ya kula na Crued sawa ila Mogas,Disea,Jetty naJet Meli zimejazana.
👆👆

Hapo juu nimewasiliana na sasa hivi na reliable source na hayo ndio majibu yake.

Kama uhaba labda uwe wa mafuta ya kula na crued oil, lakini haya mengine meli za kumwaga.

Kwa kifupi huu ni uzushi urongo na uzandiki mtupu na kukosa uzalendo kwa wale kenge waliokuwa wanaimba uzalendo na kujifanya ndio wazalendo nchi hii.
 
Mzena hakuna monchwari, aliyekwambia hivyo kakupiga fix.
Monchwari ndiyo nini? Aliyekuambia inaitwa Monchwari badala ya Mochwari si tu kakupiga Fix, ila pia amekudharau mno na kukuona ni Mpumbavu Mkomavu dunia nzima.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…