JanguKamaJangu
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 2,780
- 6,607
Hiyo mitambo haikulalamikiwa enzi ya jk, ilitelekezwa enzi ya JPM, ndio maana awamu ya 6 inalalamika, masharti ya kisayansi ya kufanya service yaliwekwa pembeni ili Siasa ifanye kaziTumia akili zako vizuri huo uchawa unagharimu uwezo wa kufikiri wa kichwa chako. Be careful bro, use your brain, do research by yourself.
Ww unaijua sayansiHiyo mitambo haikulalamikiwa enzi ya jk, ilitelekezwa enzi ya JPM, ndio maana awamu ya 6 inalalamika, masharti ya kisayansi ya kufanya service yaliwekwa pembeni ili Siasa ifanye kazi
Hii ya Tanesco kutofanya service miaka mitano ni uongo. Mtambo usipofanya service kwa wakati utakuumbua tu, alafu mtambo huohuo usuhiri mwendazake aende ndio uje usumbue.Hiyo mitambo haikulalamikiwa enzi ya jk, ilitelekezwa enzi ya JPM, ndio maana awamu ya 6 inalalamika, masharti ya kisayansi ya kufanya service yaliwekwa pembeni ili Siasa ifanye kazi
Tr 500 zitaliwa na wahuni wala hatutaona mabadiliko. Mama yuko busy kugawia wahuni ulaji. Miradi ya kimkakati iliyoanzishwa na jpm isubiri wahuni wapate hela kwanza.
Changamoto kubwa ya umeme Nchini imetajwa kuwa ni kutofanyika kwa uwekezaji wa kuboresha miundombinu inayoendana na mahitaji kwa miaka mingi, ndio maana gridi ya umeme imekuwa ikizidiwa uwezo wa kufanya kazi.
Waziri wa Nishati, January Makamba akiwa Mkoani Tabora wakati wa ziara ya Rais Samia Suluhu, leo Mei 19, 2022 amesema: “Miundombinu ni kama waya zenye urefu na unene sahihi, transfoma, vituo vya kupokea na kupoozea umeme.
“Kukosekana kwa uwekezaji matokeo yake mfumo wa gridi yetu umeelemewa kutokana na kuongezeka mahitaji na uchakavu, lakini kwa sasa Rais Samia ametoa Tsh. bilioni 500 ambazo zitatumika kuimarisha gridi ya taifa.”
Kama umechoka unapumzika, shida iko wapi kwani?Hii ya Tanesco kutofanya service miaka mitano ni uongo. Mtambo usipofanya service kwa wakati utakuumbua tu, alafu mtambo huohuo usuhiri mwendazake aende ndio uje usumbue.
Achukue hizo bil 500 mambo mengine yaendelee, watanzania wenyewe washachoka maisha yanawapoga tu kila leo
Waziri analalamika, wananchi wanalalamika,Rais analalamik!you guys stop this nonsense!!we you to come up with a soln sio mnalalamikalalamika tuu!umepewa uongozi njoo na soln!!sio kulalamika!unafanya nn kama unalalamikalalamika tuu!!!
Changamoto kubwa ya umeme Nchini imetajwa kuwa ni kutofanyika kwa uwekezaji wa kuboresha miundombinu inayoendana na mahitaji kwa miaka mingi, ndio maana gridi ya umeme imekuwa ikizidiwa uwezo wa kufanya kazi.
Waziri wa Nishati, January Makamba akiwa Mkoani Tabora wakati wa ziara ya Rais Samia Suluhu, leo Mei 19, 2022 amesema: “Miundombinu ni kama waya zenye urefu na unene sahihi, transfoma, vituo vya kupokea na kupoozea umeme.
“Kukosekana kwa uwekezaji matokeo yake mfumo wa gridi yetu umeelemewa kutokana na kuongezeka mahitaji na uchakavu, lakini kwa sasa Rais Samia ametoa Tsh. bilioni 500 ambazo zitatumika kuimarisha gridi ya taifa.”
* we wantWaziri analalamika, wananchi wanalalamika,Rais analalamik!you guys stop this nonsense!!we you to come up with a soln sio mnalalamikalalamika tuu!umepewa uongozi njoo na soln!!sio kulalamika!unafanya nn kama unalalamikalalamika tuu!!!