This is...
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 5,050
- 5,204
Kuna jamaa hapo juu kasema , HIYO MIUNDOMBINU ILISUBIRI MAGU AFE NDIYO IANZE KUSUMBUA?
Hahahaaaaa
Nchi ngumu sana hii.
Hahahaaaaa
Nchi ngumu sana hii.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu ndiyo Waziri mbovu kupita kiasi
Changamoto kubwa ya umeme Nchini imetajwa kuwa ni kutofanyika kwa uwekezaji wa kuboresha miundombinu inayoendana na mahitaji kwa miaka mingi, ndio maana gridi ya umeme imekuwa ikizidiwa uwezo wa kufanya kazi.
Waziri wa Nishati, January Makamba akiwa Mkoani Tabora wakati wa ziara ya Rais Samia Suluhu, leo Mei 19, 2022 amesema: “Miundombinu ni kama waya zenye urefu na unene sahihi, transfoma, vituo vya kupokea na kupoozea umeme.
“Kukosekana kwa uwekezaji matokeo yake mfumo wa gridi yetu umeelemewa kutokana na kuongezeka mahitaji na uchakavu, lakini kwa sasa Rais Samia ametoa Tsh. bilioni 500 ambazo zitatumika kuimarisha gridi ya taifa.”
Yaani huyu ni Waziri hopeless kabisaumeme bado unakatika sana huku kwetu kama jana mechi ya simba na azam tukaichungulia kwa majenereta na leo tena wakakata kutwa nzima na kesho wananchi kwa Lupaso tuna hofu umeme watakata kwanini hizo bilioni 500 asizigawe nasi Kanda ya ziwa tupewe zetu turekebishe miundombinu sisi wenyewe! anajifanya mjuaji sana kumbe hajui!!
Yaani huwa anaongea pumba kweli. Lakini sasa ndiyo hivyo, yuko karibu na kiti cha enzi.Huyu jamaa,hafai kua waziri kabisa
Hatutaki visingizio tena Rais katoa bil.500
Changamoto kubwa ya umeme Nchini imetajwa kuwa ni kutofanyika kwa uwekezaji wa kuboresha miundombinu inayoendana na mahitaji kwa miaka mingi, ndio maana gridi ya umeme imekuwa ikizidiwa uwezo wa kufanya kazi.
Waziri wa Nishati, January Makamba akiwa Mkoani Tabora wakati wa ziara ya Rais Samia Suluhu, leo Mei 19, 2022 amesema: “Miundombinu ni kama waya zenye urefu na unene sahihi, transfoma, vituo vya kupokea na kupoozea umeme.
“Kukosekana kwa uwekezaji matokeo yake mfumo wa gridi yetu umeelemewa kutokana na kuongezeka mahitaji na uchakavu, lakini kwa sasa Rais Samia ametoa Tsh. bilioni 500 ambazo zitatumika kuimarisha gridi ya taifa.”
Pesa ya Nchi haigawiwi kama balshishiRais anapesa huyu sijawai pata ona. Si atugaie wananchi
Hao ni sukuma gang mkuu na Chadomo si unajua Wana chuki 😄😄Kwa hiyo kusema Rais ametoa bilioni 500 kuimarisha gridi ya Taifa ni pumba? nadhani kuna shida mahali
Ingewezaje kusumbua kipindi Uchumi umekufa?Kuna jamaa hapo juu kasema , HIYO MIUNDOMBINU ILISUBIRI MAGU AFE NDIYO IANZE KUSUMBUA?
Hahahaaaaa
Nchi ngumu sana hii.
Umeme unakatika US,India hadi South Africa kwa hiyo hiyo sio hoja..Makamba ni muhuni TU,
Kutwa kucha umeme Ni kukatika,
Yeye kazi yake Ni kulalamika tu[emoji3525],
Sent using Jamii Forums mobile app
shida ipo kweli bilioni 500 umeme unakatika kama siku zote.sasa zinatusaidia nini bora angekaa kimya tu hii nchi imejaa wasomi kwasasa hatuhitaji hizo staili za kufanya watu wote ni wajinga. yes ni pumba tu hizoKwa hiyo kusema Rais ametoa bilioni 500 kuimarisha gridi ya Taifa ni pumba? nadhani kuna shida mahali
Umebaki muda mchache na nusu, kamba utapotea kbs ktk ulimwengu wa siasa.
Changamoto kubwa ya umeme Nchini imetajwa kuwa ni kutofanyika kwa uwekezaji wa kuboresha miundombinu inayoendana na mahitaji kwa miaka mingi, ndio maana gridi ya umeme imekuwa ikizidiwa uwezo wa kufanya kazi.
Waziri wa Nishati, January Makamba akiwa Mkoani Tabora wakati wa ziara ya Rais Samia Suluhu, leo Mei 19, 2022 amesema: “Miundombinu ni kama waya zenye urefu na unene sahihi, transfoma, vituo vya kupokea na kupoozea umeme.
“Kukosekana kwa uwekezaji matokeo yake mfumo wa gridi yetu umeelemewa kutokana na kuongezeka mahitaji na uchakavu, lakini kwa sasa Rais Samia ametoa Tsh. bilioni 500 ambazo zitatumika kuimarisha gridi ya taifa.”
Kwani shida yetu ni kubaini tatizi au utekelezaji? Kuliko maneno ungegeuza kuwa vitendo ungeeleweka sana.
Changamoto kubwa ya umeme Nchini imetajwa kuwa ni kutofanyika kwa uwekezaji wa kuboresha miundombinu inayoendana na mahitaji kwa miaka mingi, ndio maana gridi ya umeme imekuwa ikizidiwa uwezo wa kufanya kazi.
Waziri wa Nishati, January Makamba akiwa Mkoani Tabora wakati wa ziara ya Rais Samia Suluhu, leo Mei 19, 2022 amesema: “Miundombinu ni kama waya zenye urefu na unene sahihi, transfoma, vituo vya kupokea na kupoozea umeme.
“Kukosekana kwa uwekezaji matokeo yake mfumo wa gridi yetu umeelemewa kutokana na kuongezeka mahitaji na uchakavu, lakini kwa sasa Rais Samia ametoa Tsh. bilioni 500 ambazo zitatumika kuimarisha gridi ya taifa.”
Hiyo mitambo haikulalamikiwa enzi ya jk, ilitelekezwa enzi ya JPM, ndio maana awamu ya 6 inalalamika, masharti ya kisayansi ya kufanya service yaliwekwa pembeni ili Siasa ifanye kazi
Mama ametoa yeye amezipata wapi? Serikali imetoa pesa kutokana na kodi zetu na tozo zetu!! Haya mambo ya kusifia bila sababu ya msingi inasaidia kumfanya abweteke!!