Waziri Makamba: Hatujafanya uwekezaji, Miundombinu ya Umeme imechakaa na Gridi ya Taifa imezidiwa

Waziri Makamba: Hatujafanya uwekezaji, Miundombinu ya Umeme imechakaa na Gridi ya Taifa imezidiwa

Hiyo mitambo haikulalamikiwa enzi ya jk, ilitelekezwa enzi ya JPM, ndio maana awamu ya 6 inalalamika, masharti ya kisayansi ya kufanya service yaliwekwa pembeni ili Siasa ifanye kazi
Acha ujinga labda kama wakati wa JK ulikuwa tumboni mwa mama Yako, hakuna kipindi nchi imeingia kwenye mgao wa umeme kama kipindi kile, majenereta yalikuwa ni Dili biashara ilikolea, JPM alivyokuja wenye hiyo biashara ikawachachia na ndiyo hao wanataka kulazimisha mgao Ili wauze bidhaa zao
 
Mwenye kiti cha enzi anasema wasitishwe na vijimaneno....... hii nchi ngumu sana.

Huku kushupaza shingo huku kunafikirisha sana.

Katiba Mpya itapatikana kwa juhudi ya wananchi na sio vikosi kazi vyama au mikutano makongamano.

Safari ni ndefu sana kuliko watu wanavyodhani.

Ubinafsi umetawala sana katika awamu zote za utawala hakuna mzalendo wote ni walewale.

Jehova hurumia hii nchi
Kuhusisha Katiba ya nchi na viongozi wa hovyo ni fikra mufu. Kwangu mimi tatizo ni Viongozi wenye madaraka kwa kutimiza wajibu wao kulingana na Sheria, Kanuni na Taratibu za mamlaka yao. Hakuna Kifungu chochote kwenye Katiba ya nchi kinachomruhusu Kiongozi yeyote kuzembea au kutenda atakavyo mwenyewe kwa jinsi ya Waziri January
 
Back
Top Bottom