Waziri Makamba: Hatujafanya uwekezaji, Miundombinu ya Umeme imechakaa na Gridi ya Taifa imezidiwa

Hiyo mitambo haikulalamikiwa enzi ya jk, ilitelekezwa enzi ya JPM, ndio maana awamu ya 6 inalalamika, masharti ya kisayansi ya kufanya service yaliwekwa pembeni ili Siasa ifanye kazi
Acha ujinga labda kama wakati wa JK ulikuwa tumboni mwa mama Yako, hakuna kipindi nchi imeingia kwenye mgao wa umeme kama kipindi kile, majenereta yalikuwa ni Dili biashara ilikolea, JPM alivyokuja wenye hiyo biashara ikawachachia na ndiyo hao wanataka kulazimisha mgao Ili wauze bidhaa zao
 
Kuhusisha Katiba ya nchi na viongozi wa hovyo ni fikra mufu. Kwangu mimi tatizo ni Viongozi wenye madaraka kwa kutimiza wajibu wao kulingana na Sheria, Kanuni na Taratibu za mamlaka yao. Hakuna Kifungu chochote kwenye Katiba ya nchi kinachomruhusu Kiongozi yeyote kuzembea au kutenda atakavyo mwenyewe kwa jinsi ya Waziri January
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…