All truth23
JF-Expert Member
- Jul 19, 2022
- 1,215
- 1,401
Dah sasa wanaanza kuwalazimisha watu kusema wasichokiamini!!! Hii ni Haibu SANA WACHA WATU WASEME WENYEWE.Waziri wa Nishati, Januari Makamba amesema kazi inafanyika na dhamira nzuri ipo na anachoomba uelewa na uwepo wa subira pamoja na kutiwa moyo.
"Kazi inafanyika na dhamira nzuri ipo tunachoomba ni uelewa na subira tunaomba kutiwa moyo kama hali imeboreka semeni kwamba Sasa hivi ni bora kuliko ilivyokua mkisema sio tunanyong'onyea sababu tumetumia pesa tumetumia muda kurekebisha hii hali" amesema Makamba
Chanzo TBC
Waziri wa Nishati, Januari Makamba amesema kazi inafanyika na dhamira nzuri ipo na anachoomba uelewa na uwepo wa subira pamoja na kutiwa moyo.
"Kazi inafanyika na dhamira nzuri ipo tunachoomba ni uelewa na subira tunaomba kutiwa moyo kama hali imeboreka semeni kwamba Sasa hivi ni bora kuliko ilivyokua mkisema sio tunanyong'onyea sababu tumetumia pesa tumetumia muda kurekebisha hii hali" amesema Makamba
Chanzo TBC
Mamlaka za uteuzi Msisubiri Hadi ajimalize ndo mteue mwingine.Waziri wa Nishati, Januari Makamba amesema kazi inafanyika na dhamira nzuri ipo na anachoomba uelewa na uwepo wa subira pamoja na kutiwa moyo.
"Kazi inafanyika na dhamira nzuri ipo tunachoomba ni uelewa na subira tunaomba kutiwa moyo kama hali imeboreka semeni kwamba Sasa hivi ni bora kuliko ilivyokua mkisema sio tunanyong'onyea sababu tumetumia pesa tumetumia muda kurekebisha hii hali" amesema Makamba
Chanzo TBC
Wananchi wanalazimishwa wapige mayowe.Dah sasa wanaanza kuwalazimisha watu kusema wasichokiamini!!! Hii ni Haibu SANA WACHA WATU WASEME WENYEWE.
Wewe umelazimishwa na nani.Wananchi wanalazimishwa wapige mayowe.
Mama Zuri unawashwa kinyeoWewe umelazimishwa na nani.
Hali siyo na imekuwa mbaya kwelikweli tofauti na kipindi cha nyuma. Wewe Kigogo kamwambie huyo Chifu wenu mnayejipendekeza kwake kwa mapambio ya kinafiki,labda kuhusu hali ya hewa ni baridi na joto kwa mbaaaaali.Waziri wa Nishati, Januari Makamba amesema kazi inafanyika na dhamira nzuri ipo na anachoomba uelewa na uwepo wa subira pamoja na kutiwa moyo.
"Kazi inafanyika na dhamira nzuri ipo tunachoomba ni uelewa na subira tunaomba kutiwa moyo kama hali imeboreka semeni kwamba Sasa hivi ni bora kuliko ilivyokua mkisema sio tunanyong'onyea sababu tumetumia pesa tumetumia muda kurekebisha hii hali" amesema Makamba
Chanzo TBC
Hapo mm na ww nani anawashwa?Mama Zuri unawashwa kinyeo