Waziri Makamba: Kama hali imeboreka semeni kwamba sasa hivi ni bora kuliko ilivyokuwa, mkisema sio tunanyong'onyea

Waziri Makamba: Kama hali imeboreka semeni kwamba sasa hivi ni bora kuliko ilivyokuwa, mkisema sio tunanyong'onyea

Waziri wa Nishati, Januari Makamba amesema kazi inafanyika na dhamira nzuri ipo na anachoomba uelewa na uwepo wa subira pamoja na kutiwa moyo.

"Kazi inafanyika na dhamira nzuri ipo tunachoomba ni uelewa na subira tunaomba kutiwa moyo kama hali imeboreka semeni kwamba Sasa hivi ni bora kuliko ilivyokua mkisema sio tunanyong'onyea sababu tumetumia pesa tumetumia muda kurekebisha hii hali" amesema Makamba

Chanzo TBC

tuwe wakweli watanzania kama hali nzuri tuseme
 
Back
Top Bottom