Waziri Makamba: Mwenye ushahidi wa mambo mabaya aje wizarani

Mambo mabaya yafanyikie hapo wizarani Makamba akiwa kama mkuu wa ofisi asiyajue? au anamtafuta mwenye ujuaji wamfanye kama walivyowafanya wale wafanyakazi wawili wa ofisi ya CAG?

Kumpelekea ushahidi muhalifu ili ajifunge ni dalili ya ugonjwa wa akili..
 
Mambo mabaya yafanyikie hapo wizarani Makamba akiwa kama mkuu wa ofisi asiyajue? au anamtafuta mwenye ujuaji wamfanye kama walivyowafanya wale wafanyakazi wawili wa ofisi ya CAG?
Waliwafanyaje?
 
Aache kuzingua. Hatuendi huko tutamtwanga hukuhuku majukwaani Kwa Nini gharama za kuunga umeme zimerudi juu, Afu matenesko wanjifanya magodifaza wa Kula rushwa Ili watuunganishie umeme.

Wamechelewesha bwawa la Mzee wetu marehemu. Miradi ya michongo mingi inafanyika Kwa sasa.

Mtaani SIku ikipita umeme hujakatika ni muujiza wa mwamposa. Tunapaza sauti hukuhuku tuwavue nguo ili watu wote wajue
 
REA, Kuna Kijiji Cha Mahorosha wilaya ya Rombo, tarafa ya mashati, wananchi masikini wamechanga pesa ili kununua nguzo. Waliochanga wamepata, walioshindwa wapo kwenye Giza, ni haki?
 
Yaani mtu ana kero iliyosababishwa na yeye halafu aende kwake wazumze anataka kumfanya nini zaidi? Hakuna atakayepeleka ushahidi kwake maana huyo kijana hana maadili mema ana kiburi, majivuno, dharau na ukosefu wa uaminifu kwahiyo hakuna ushiriakiano na yeye.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…