Waziri Makamba: Mwenye ushahidi wa mambo mabaya aje wizarani

REA, Kuna Kijiji Cha Mahorosha wilaya ya Rombo, tarafa ya mashati, wananchi masikini wamechanga pesa ili kununua nguzo. Waliochanga wamepata, walioshindwa wapo kwenye Giza, ni haki?
Hapo vijana wamepiga, hiyo issue mki report kwa Tanesco, ikiwezekana na Consultant mtapata mbivu na mbichi
 
Kiparangoso umeme umeuutuliza asaiv kero umeimaliza Ila sababu wanachuki binafsi wameanza kutunga scandal ili uchafuke, chapa kazi tunakujua wewe sio mtu wa kujitetea kazi zako tunaziona bana
 
CAG si alishasema umepiga mabilioni na ukaleta LUKU Mbovu? Ushahidi gani tena? Au haujamsoma GOGOKI4102?
 
Kiparangoso umeme umeuutuliza asaiv kero umeimaliza Ila sababu wanachuki binafsi wameanza kutunga scandal ili uchafuke, chapa kazi tunakujua wewe sio mtu wa kujitetea kazi zako tunaziona bana
Hiki swali nauliza sana, kabla ya makamba kuwa waziri yulikua na tatizo la umeme?
 
Kuna mitambo ilikuwa imeoza mpaka inatoa funza lkn kalemani alilazimisha wataalam waiwashe hivyo hivyo so lilikuwa ni suala la muda kengenuka. Kiparangoso alijua atatukanwa lkn alijitosa ivo Ivo asaivi miozo yote kaondoa itachukua miongo umeme kuanza kusumbua
 
chawa
 
Hiyo mitambo kwa muda wote huo ilikuwa inavumilia tu?

Gari yenyewe acha kubadilisha oil alafu endelea kuendesha uone kama itawezekana.

Mtambo sio binadamu kwamba utamfanyia visa atavumilia tu, mtambo ukishindwa kuufanyia maintenance lazima tu ukuumbue. Sasa huo mtambo ukae miaka 7 uache kusumbua, utakua labda na majini
 
hii aise mbona haka kamtego kazamani iiiisshhh!!

don't dare , it's a trap .. it's trap ! we gonna loose u !!
 
Back
Top Bottom