Waziri Makamba: Mwenye ushahidi wa mambo mabaya aje wizarani

Waziri Makamba: Mwenye ushahidi wa mambo mabaya aje wizarani

MSHAAMBIWA NENDENI HUKO

MBONA MMNAGWAYA [emoji1]

ova
 
Kukaa kimya napo ni busara J MAKAMBA ebu tueleze nini kimefanya TANESCO ishindwe haya;
1. Kutowapandisha wasomi wake baada ya kujiendeleza kielimu tangu 2021 licha ya muongozo kuhitajia hilo.
2. Kutowalipa pesa ya nauli ya likizo wafanyakazi tangu Kati Kati ya mwaka 2022 .
3.Kusua sua Kwa ufungaji wa umeme Kwa wahitajia wa nguzo nje ya mkoa wa Dar es salaam haswa maeneo ya vijijini.
4. Huduma za dharura kujirudia mara Kwa mara Kwa maeneo husika haswa umeme kuwa mdogo/kukosekana Kwa njia moja au mbili za umeme licha ya kuwa na wataalam wengi .
5.Lugha chafu na dharau Kwa watoa huduma wako huku wakiona rushwa ndiyo msingi wa ufanyaji kazi wao.
 
“Kama kuna mtu yeyote ana maneno yoyote ya mambo yasiyofaa yamefanyika kwenye wizara yetu [Wizara ya Nishati], aje ayaseme, alete ushahidi, tuzungumze.” - January Makamba, Waziri wa Nishati.
---

Nina ushahidi huu hapa niambie kama Kesho upo wizarani nije?
Jibu tafadhali!!
 

Attachments

  • 8700C60A-98E5-4EDA-8A5B-045AB39FB1E9.jpeg
    8700C60A-98E5-4EDA-8A5B-045AB39FB1E9.jpeg
    63.1 KB · Views: 3
Unampelekea Mtuhumiwa Kesi ya Kumtuhumu ?!!!!
 
Back
Top Bottom