Waziri Makamba na mitungi ya Taifa Gas

Hutawaona wenye mahaba yao na majizi.

Wanatumia rasilimali za nchi kutangaza bidhaa zao.

Waliwao watakwambia, "huyo ndo amefadhili shughuli hiyo ya kitaifa kizalendo kama wale wa 7bn za roho tua", wametumia pesa zao, wewe inakuuma nini?

Huku, pesa za wafanyakazi wa hii nchi zikifadhili UZINZI wa Nandi, wastaafu wakinywa mafao yao waliochangia miaka 36.

Mama anapigwa kwingi
 
Mbeba mikoba katika ubora wake
 
Sasa yeye kama Waziri haoni Kama anakiuka sheria ya ushindani? Kuna Mihan gas, Oryx, Manjis nk. Sasa unapoonekana unatoa mitungi ya kampuni moja unamaanisha nini kwa competitors wa Taifa gas?
Nchi ngumu hii!!!
 
Ok
Makampuni mengine yaige Taifa Gas
Kelele za kupambana na uharibifu wa mazingira mafanikio yake hayategemei media tu kampuni za gesi ya kupikia zinatakiwa kuwa active frontline.

Taifa gesi naipongeza

Sababu huwezi kusema Tunzeni mazingira msikate miti ya kuni au mkaa .Je mbadala ni nini? Taifa gas wako vizuri wamekuja na mbadala wa usikate miti au kutumia mkaa tumia jiko la gesi kama hulijui jiko la gas ni kama hili la taifa gas chukua bure uone lifanyavyo kazi

Gas ikiisha kanunue na waambie wengine wanunue
 
Sasa yeye kama Waziri haoni Kama anakiuka sheria ya ushindani?Kuna Mihan gas,Oryx,Manjis nk,sasa unapoonekana unatoa mitungi ya kampuni moja unamaanisha nini kwa competitors wa Taifa gas?
Nchi ngumu hii!!!
Yeye ni Waziri wa Nishati
Iwe umeme,gas,mafuta,no

Kama kuna kampuni inajitolea kugharimia ku.promote nishati yake inayozalisha iwe gesi ya kupikia or whatever ambayo itapunguza uharibifu wa mazingira. Ruksa

Ili.mradi ni kwa gharama zao kama Taifa gas inavyofanya sababu bajeti ya Serikali Haina bajeti ya kugawa gesi na mirungi bure
 
Rostam Noma Sana huyo muhindi Ntu ya dili..tayari Waziri kashalamba chake kupiga promo ya bure.
 
Mazingira hayatakua salama kama hakutokua na kipimo Cha chini.

Mkaa unatumika sana ,sio kwa sababu ni Bei nafuu.

Mkaa ni ghali Kuriko Gas, sema nafuu yake Kuna kipimo hadi Cha 1000.
 
Akili yako inakisonono
 
Katika ziara yake amekuwa akigawa mitungi ya Taifa gas inayomilikiwa na mfanyabiashara Rostam Aziz.
Amepata uwaziri wa wizara hiyo kimkakati, bad thing ni kwamba Mama hakujua hilo.. atajua ikiwa too late maana the whole deal would be done! Pole kwa Tanzania, pole kwa Rais Rais Samia!!
 
Thibitisha
 
Kugawa mitungi bure sio kuhamasisha watu kutumia gesi Kama nishati.
Ndiyo maana huyu dogo aliiba pepa Galanos.
 
Angekutumia mitungi ya kampuni nyingine bado mngeongea...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…