Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kiparaa woyeeeeeSAA 2:02 usiku jiji la mwanza nusu yaake kama siyo robo tatu liko gizani
Wengi wanasikika sauti kwenye Giza wakimsifia kijana mchapa kazi January makamba kwa kupenda kuifanyia matengenezo mitambo hiyo haswa nyakati za usiku
Hakika jamaa ni genius sana
😄😄hadi jua huyu makamba kalichukua?Huku Moro tangu mchana ni giza ,sijui shida ni nn,sijui changamoto zinafanana na huko mwanza ,au ni tofauti
Kiparaa woyeeeee
Ausha ni totoroSAA 2:02 usiku jiji la mwanza nusu yaake kama siyo robo tatu liko gizani
Wengi wanasikika sauti kwenye Giza wakimsifia kijana mchapa kazi January makamba kwa kupenda kuifanyia matengenezo mitambo hiyo haswa nyakati za usiku
Hakika jamaa ni genius sana
Kesho chato:SAA 2:02 usiku jiji la mwanza nusu yaake kama siyo robo tatu liko gizani
Wengi wanasikika sauti kwenye Giza wakimsifia kijana mchapa kazi January makamba kwa kupenda kuifanyia matengenezo mitambo hiyo haswa nyakati za usiku
Hakika jamaa ni genius sana
Jidanganye kawekwa hapo kwa manufaa ya msoga gang wazee wa mikataba ya akina chief magungo umesahau suala la gesi ya mtwara tuliambiwa inaenda maliza tatizo la umeme na gasi nchini hadi nyumba zitaunganishwa mtandao wa gasi..kiko wapi sasa gasi yenyewe tunainunua?Haaha.. mama mjanja sana.. kamweka pale ammalize kisiasa jamaa maana hyo wizara ni jumba bovu.. so upinzan ndan ya chama umepunguzwa tayar.. hahha
Naona inatumika kuongeza migogoro ndani ya nchi kwa kuvuruga uchumi wa wananchi.Eti nasikia kina masters of public conflict
Labda ukiwa zenji huko mitaa ya mchamba wima..tofauti na hapo endelea kuumia.Wakuu bei ya kuunganisha umeme imeshapunguzwa au ni ile ile 320k?
Kumlaumu Makamba au Maharage siyo sawa mnawaonea wa kulaumiwa hapa ni Samia nani walimshauri kumteua January?? Lieni na Samia na hasikii vilio vyenu yuko busy kutafuta mikopo mpate umeme wa mapangaboi ambao uko vizuri kutoharibu mazingira,,,Samia OyeeeeeWalisema maji..wakaja ufundi..wakaja kitengo cha huduma kwa wateja hadi wakamtumbua mkuu wa kitengo kuwa ndio anasababisha kukatika umeme..sasa hii ya sikuhizi sijui shida nini?
Hakuna waziri hapo ni mpiga dili tu yule.
#MaendeleoHayanaChama
Hapa ndipo tunapomkumbuka sana MwendaZake John. Mbona enzi zake kuliuwa hakuna huku kukatika katoka ovyo kwa Umeme? Kulikoni?Basi hii kukosekana umeme imepiga nchi nzima
SAA 2:02 usiku jiji la mwanza nusu yaake kama siyo robo tatu liko gizani
Wengi wanasikika sauti kwenye Giza wakimsifia kijana mchapa kazi January makamba kwa kupenda kuifanyia matengenezo mitambo hiyo haswa nyakati za usiku
Hakika jamaa ni genius sana